Smart Technician
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 653
- 824
Habari za leo natumai mu wazima wa afya
Nilikua natumia king'amuzi cha azam na dish lake wezi wakaniibia kingamuzi na dvd sasa nimebaki na dish bila kingamuzi ,tv na receiver ya mediacom ya FTA channel ya dish kubwa la analogue ambayo ilipona wezi mana ilikua ndani
Nilikua nauliza kama naweza kuseti vipi hio receiver kwenye dish la azam ili nicheki hata FTA channel za bongo mana nimechomeka waya wa dish la azam kwenye receiver.
Nilijaribu kupitia baadhi ya nyuzi kuhusu hii ishu nimeshindwa kupata channel sababu sjajua ni add satelite gani na niweke transponder zipi mana nilizoziona kwenye nyuzi mbalimbali ni za miaka mingi nimejaribu zimegoma
Nahitaji msaada wako ulieunga ukafanikiwa nami niweze cheki FTA channel za bongo
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote mtaoshiriki.