Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,612
Unaanzisha ligi isiyokuwa na tija yoyote ile. Wengi wamenielewa na hilo ndilo la msingi.Kabla
Kabla ya kutawaliwa hatukuwa huru?
Unaanzisha ligi isiyokuwa na tija yoyote ile. Wengi wamenielewa na hilo ndilo la msingi.Kabla
Kabla ya kutawaliwa hatukuwa huru?
mkuu unaelewa maana ya jiwe la msingi. kwa kiingereza foundation stone?Uwekaji jiwe la msingi leo unanishangaza. Kwa kawaida jiwe la msingi huwekwa wakati mradi umeshaanza ili kiongozi anayeweka aone kinachofanyika. Leo jiwe la msingi linawekwa hata kipande cha mita moja hakijaanza kujengwa. Inakuwaje? Labda ni utaratibu mpya.
Hata hapo unapotaka niamini ni stone, sio stone ni zege. Jibu, kako ni kuwa naelewa kuliko unavyofikiria.mkuu unaelewa maana ya jiwe la msingi. kwa kiingereza foundation stone?
We hujui kama JK ana mkono wake hapa kupitia Ridhthree? Yaaani linamuhusu hakwepiNingeshauri barabara kuu inayo ingiza Magari kutoka mikoani na nchi Jirani Barabara ya Morogoro/ubungo ipanuliwe haraka iwezekanavyo kwani barabara hiyo ndio lango Kuu la kuingilia Dsm, ndio lango kuuu la Uchumi wa nchi yetu,
Prof Mbarawa fanya jitihada za haraka uchumi wa nchi yetu ukuwe kwa haraka
Kaka hapo haupo sahihi, mikataba wasainiane wengine, umuingize Mh JK. Ana mapungufu yake lakini sio katika hilo
Si huo wa Lugumi na Polisi, wamalizane wenyewe, usimuingize Mh
Nami niliisikia na nadhani na designing ishafanyika. Tatizo ni kuwa kutokana na kasi ya ukuaji wa mji wa Dar Es Salaam ambao Kibaha na Mkoa wa Pwani kwa ujumla ndiyo sehemu ya kupumulia, flyover of any kind hapo Ubungo itakuwa ni short term plan. Tunahitaji kudesign a good kind of flyover taking a long distance mfano toka Akiba hadi Maili Moja (Kibaha) itakayokuwa na diverging lanes chache labda Kimara Mwisho na Mbezi kwa Yusuf. Basi.Nasikia wana mpango wa kujenga interchange pale Ubungo. Nilisoma mahala kwamba hiyo itakuwa ya ghorofa tatu.
10 Yrs JK hakugusa reli. 10 yrs hakujenga hata cm 100 a.k.a mita mojaUnaambiwa mambo tayari unauliza jibu?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hapana ajuza wanasubiri waende na Dau wakati akijibu ufisadi alioufanya pale nssfHivi askofu Kilaini na yule askofu mwengine wa kanisa katoliki walishalipia kodi mgao wao wa Escrow?
10 Yrs JK hakugusa reli. 10 yrs hakujenga hata cm 100 a.k.a mita moja
10 yrs anazunguka duniani ! duu eh mola
Kamanda sasa ni wakati wa kuzungusha kiuno maana mikono imeshindwa kuleta mabadiliko.
Hapana ajuza wanasubiri waende na Dau wakati akijibu ufisadi alioufanya pale nssf
10 Yrs JK hakugusa reli. 10 yrs hakujenga hata cm 100 a.k.a mita moja
10 yrs anazunguka duniani ! duu eh mola
experts wanasema kwamba design..hiyo ya kuinua njia ya airport to town and town to airport.. ni kusogeza tatizo la folen..mbele kidogo..yani baada ya three years.. foleni zinarudi pale pale. solution.. ni kureduce hea1. TAZARA
2.UBUNGO
3.MAGOMENI
4. AKIBA
5. KAMATA
6. MNAZI MMOJA
Sehemu zote hizi zinabidi zifikiriwe kama kweli tunataka ku- adress suala la foleni
Mwanamama achana na hekaheka ya hilo jizi liloturudisha nyuma kimaendeleo watanzania hawataki kumsikia.Kuzunguka kwake dunia ndiyo leo tuna uwezo wa kujenga hata reli ya chini ya bahari wakati wowote ule tukiamua. Unafanya mchezo na cubic trillion 60 za gesi na utafiti unaendelea.
Tumia kichwa chako kufikiri japo kiduchu si kukiacha mzigo tu juu ya mabega.
Na standard gauge yaja kwa jitihada zake binafsi.
Nchi hii kwani hatuna watalaam wakukaa chini na kutoka na kitu cha miaka hamsini au mia moja ijayo?experts wanasema kwamba design..hiyo ya kuinua njia ya airport to town and town to airport.. ni kusogeza tatizo la folen..mbele kidogo..yani baada ya three years.. foleni zinarudi pale pale. solution.. ni kureduce hea
d to head conflicts as much as possible,, yani hapo..njia ya kutoka sokota/temeke kwenda buguruni ilitakiwa iwe kwenye flyover na yenyewe! hiyo ndio long term solution...na kingine..very important..ni kuhakikisha..mataa ya changombe...na buguruni..yanakuwa kwenye flyover...vinginevyo...foleni yote ya tazara inahamia changombe na buguruni...hivyo...tunakuwa tumehamisha tatizo kwenda mbele na sio kutoa foleni. kwa kifupi..hii low cost design kwa sasa haifai hapa nchini kwetu...check zile fly over za wenzetu..Africa kusini,,, na hata za pale Nairobi!