The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,182
- 45,750
Zanzibar yaliyotokea ni laana waliyoipata CUF ya kumuona Lipumba ni Msaliti, hivyo laana hiyo itaendelea mpaka watakapomkumbuka Mzee JAMES MAPALALA.
Laana ndio inafanya watu wavunje maagizo ya katiba na sheria za nchi?