Kutoka Algeria: MC Alger 4 - 0 Young Africans

Wamekufa kinyama! Tatizo hii timu inatabia ya kuvamia mambo. Yenyewe ni ya kuogelea halafu inajiingiza kucheza mpira wa miguu madhara yake ndiyo haya sasa!
 
Hivi wanaojiita was kimataifa ni yanga ama simba?

Poleni sana watanzania wenzangu na wapenda sport wote.
 
Hebu tujadili kidogo kipigo cha Yanga Jana kutoka Kwa WaAlgeria cha bao 4- 0 kombe la Shirikisho.Eti Kwa kuwa Yanga walikuwa wanawakilisha Nchi inatakiwa tuseme "Walikufa kiume" ila ingekuwa ni mechi ya kirafiki tungesema wamechabangwa au wameaibishwa.Je ni kweli Wamekufa kiume?


Mashabiki wa Yanga ni wajinga siku zote kwani hawapendi kusoma alama za nyakati. Yanga itatamba hapa Bongo dhidi ya timu za Kiarab, ikienda huo wanarudi na makapu ya magoli na haibu kibao, zamani wakati tulikuwa hatuna TV walikuwa wanarudi na visingizio lukuki. Hii jadi ya Yanga kuwa jamvi la waarab ni la siku nyingi sana na halitakwisha labda Yanga ife. Mimi wala siwapi pole maana maumivu mnajitakia wenyewe kushabikia timu ya kijinga isiyo na muelekeo mpaka iundiwe kamati ya UFUNDI Unguja au Morogoro maporini, hii ni timu kweli au mizimu?
 
Mimi Niliposikia YeboYebo Wanajiita Wakimataifa Sikushangaa! Kwani Nilijua Ni Wakimataifa Katika Kugawa Uroda... Na Hupenda Sana Kugongwa na Mabwana Wa Kiarabu.... Na Haridhiki Mpaka Apigwe Vinne....
 
Haijambo Sana Hawa Wagawa Uroda Wa Kimataifa Hawajapigwa Nyingi, Wamepigwa Kidogo Manake ni 4 tu.....!
 
Bila Malinzi kutoka madarakani hututakaa tupate timu ya kuiwakilisha Nchi. Matokeo ya Azam na Yanga yanareflect kwamba ligi yetu imejaa figisu na bingwa hupatikana mfukoni. Kama unabisha bora upelekwe mirembe.
 
Baadhi ya viongozi na wachezaji wameachwa na ndege baada ya kuchelewa kufika uwanja wa ndege
 
Hadi siku yanga watakapoacha siasa,na kucheza Moira ndipo watafanya vizuri.Sasa Leo jamaa wanahonga tu vitimu vidogo,marefa,ili washinde match za ligi za ndani,na wakienda nje matokeo Ndiyo hayo kifo kupewa jinsia!
 
Back
Top Bottom