Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,647
- 75,837
Niwekee kakipande basi.... wengine insta Hatupo....Aliokuwa anaurekodi Tongwe records
Niwekee kakipande basi.... wengine insta Hatupo....Aliokuwa anaurekodi Tongwe records
Mkuu umenitisha ila siogope tena, tiririka unaweza kusaidia jamii kama taarifa zako una uhakika nazo, usiishie kupost tu hapa, jaribu kufikisha taarifa pia sehemu salama sheria zitakulinda kama whistle blower, funguka zaidi go deeper mkuu, huu ni wakati for changessKuna asilimia kubwa kwamba waliomuua Ben ni kikosi maalum na kinalipwa pesa nyingi sana na hicho hicho ndicho kinahusika na utekaji wa Roma. Roma hawezi kupatikana kamwe. Hiki kikosi kinaundwa na askari wa Rwanda waliokodiwa kwa kazi hiyo.
Wewe huna akiri na hujitambui kabisa, kama wewe una uhakika wa usalama wa maisha yako basi usidhani wote wana hiyo nafasi!!!!Kila mtu ataandika blah blah blah
Huku hata hamjui kazi za upelelezi uendeshwa vipi. Yaani kila anayeisoma # anaandika kwa kujipa kazi....watanzania badilikeni.
Wengi wanaodandia issue hii humu kivibaya na kwa chuki ha ha haaaa, ni wale wale mnajijua mtanyooka tu
Ni vile tu unafikiri kwa kutumia kiungo ambacho originally kazi yake ni kukalia. Hivi kuna UDAKU kama kwenda studio na bunduki kushadadia habari za wenye mbegu zao zirushwe ilhali tayari dunia inajua kuwa wana mbegu?Tatizo hapo ni lipi!?
Udaku udaku udaku, huku fikra za kujiendeleza zipo mbali na wengi ninyi. Kisha mbaanza kuallamikia serikali na njaa zenu kama vile iliwaleta duniani na mliosoma sijui kwanini mlisoma.
Uandishi wako unajidhalilisha kwelikweli. Una upeo mdogo sana kwenye kujenga hoja za kutetea jambo. Unafanyaga utetezi wa kitoto kwelikweli. I am just being scared the way you tackle issues. If you can not argue logically, you better let you're keypad rest.Kila mtu ataandika blah blah blah
Huku hata hamjui kazi za upelelezi uendeshwa vipi. Yaani kila anayeisoma # anaandika kwa kujipa kazi....watanzania badilikeni.
Wengi wanaodandia issue hii humu kivibaya na kwa chuki ha ha haaaa, ni wale wale mnajijua mtanyooka tu
Tukio la kupotea kwa Ben Saanane, kunyooshewa bastola Nape (MB), Kuwekwa ndani Ney wa Mitego na tukio LA kutekwa Roma "Mkatoliki"......yote haya yanaihusisha serikali 100%......IGP, Sizonje na Bashite ndo wahusika wakuu.Kila jambo na wakati wake!!
Sentensi uliyoandika inaonesha unajua jambo juu ya hili na kama sivyo utakuwa ni bingwa wa kutunga hoja fitinishi ambazo hazifai. Hebu tudadavulie kidogo hapa jamvini badala ya kutoa accusations nzito kama hizi halafu usepe.Kuna asilimia kubwa kwamba waliomuua Ben ni kikosi maalum na kinalipwa pesa nyingi sana na hicho hicho ndicho kinahusika na utekaji wa Roma. Roma hawezi kupatikana kamwe. Hiki kikosi kinaundwa na askari wa Rwanda waliokodiwa kwa kazi hiyo.
Mkuu kuwa na akiba ya manenoTukio la kupotea kwa Ben Saanane, kunyooshewa bastola Nape (MB), Kuwekwa ndani Ney wa Mitego na tukio LA kutekwa Roma "Mkatoliki"......yote haya yanaihusisha serikali 100%......IGP, Sizonje na Bashite ndo wahusika wakuu.
Wewe upo salama kiasi gani?au povu tu lakutoka?wakimaliza na sisi watarudi kwenu kwaiyo wewe endelea kuachama makalio siku jiti likiingia utashtuka.Kila mtu ataandika blah blah blah
Huku hata hamjui kazi za upelelezi uendeshwa vipi. Yaani kila anayeisoma # anaandika kwa kujipa kazi....watanzania badilikeni.
Wengi wanaodandia issue hii humu kivibaya na kwa chuki ha ha haaaa, ni wale wale mnajijua mtanyooka tu
Kila mtu ataandika blah blah blah
Huku hata hamjui kazi za upelelezi uendeshwa vipi. Yaani kila anayeisoma # anaandika kwa kujipa kazi....watanzania badilikeni.
Wengi wanaodandia issue hii humu kivibaya na kwa chuki ha ha haaaa, ni wale wale mnajijua mtanyooka tu
Wewe upo salama kiasi gani?au povu tu lakutoka?wakimaliza na sisi watarudi kwenu kwaiyo wewe endelea kuachama makalio siku jiti likiingia utashtuka.
Mungu tunusuru, Nape alitolewa bastola. Je, mm ni nani? hata nisiwe na shaka kuhusu usalama wangu!
Nchi hii haina upelelezi kila wanachofanya wanakosea serikali gani hii, alafu kama unaumwa ma*ii nenda kabisa ka download ndio uje apa kuongeaKila mtu ataandika blah blah blah
Huku hata hamjui kazi za upelelezi uendeshwa vipi. Yaani kila anayeisoma # anaandika kwa kujipa kazi....watanzania badilikeni.
Wengi wanaodandia issue hii humu kivibaya na kwa chuki ha ha haaaa, ni wale wale mnajijua mtanyooka tu
Tatizo hapo ni lipi!?
Angesema mwakani ungecheka?
Watanzania wengi mmeonyesha jinsi mlivyo na akili za kutafuta ya kumshusha mtu, hamfikiriii nje ya box.
Acheni watu wanaojua kupangilia mambo na kucheza na akili za wanaotaka kuichafua serikali waendeleee.
Haya maneno take yametoa nyoka zaidi kutoka pangoni, na mengi yataendelea na kuwajua tu. Huku nyuma kazi zjngine zinaendelea kujua sababu zao kizaidi
Hakuna kama kuwa mbele ya wafata mikumbo na wenye maslahi yao atua 10 mbele, nacheka mimi na kusikitika kuwa nchi yetu imejaa wengi mabomu kabisa.
Bora Raisi mpendwa aendelee kuinyoosha hii nchi, n janga la ajabu kutokea duniani.
Udaku udaku udaku, huku fikra za kujiendeleza zipo mbali na wengi ninyi. Kisha mbaanza kuallamikia serikali na njaa zenu kama vile iliwaleta duniani na mliosoma sijui kwanini mlisoma.
Acheni kutisha wananchi kwa maslahi yenu binafsi. Na usinitungie uongo kwa kujaa maneno machafu kwasababu wewe mchafu.
Mtanyooka tu
Hapa kazi tu