Kutana na Mabior Garang De Mabior, Waziri wa Maji wa Sudani Kusini, Waziri "msela" aliyefukuzwa kikaoni sababu ya mavazi

1462728350475.jpg
1462728510305.jpg
1462728540225.jpg
1462728585284.jpg
1462728626099.jpg




Sipati picha akianza kutumbua majipi
 
Naomba mwenye cv ya waziri huyu wa Maji wa sudani kusini atupatie , nimegoogle sijapata jibu
1462730763044.jpg
 
Nadhani cheo alipata kwa heshima ya baba yake, aliekuwa kiongozi wa SPLA Garang

Mabior yuko vizuri kichwani. Anaongea mambo ya maana sana usidanganywe na appearance yake. Hata mama yake (mjane wa Garang) yuko vizuri. Kuteuliwa kwake sio tu ni kwa heshima ya baba yake bali pia yeye na mama yake wana nguvu sana kwenye jamii yao.
 
Hivi aliyemteua kuwa waziri hakuwahi kumuona physical appearance yake?Mbona ni teja hasa.

At first nilivyomuona nikasema huyu kama ilitakiwa awe rehab ivii sio katika baraza la mawaziri
 
Back
Top Bottom