Jamaa kama yule sijui Papaa Mafogo(?) wa A-Town
Huwa anasema s"swaga" bongo,Ara Chunga ni mambo ya Old school
View attachment 345429 View attachment 345430 View attachment 345431 View attachment 345432 View attachment 345433 View attachment 345434
Huyu bwana mdogo ni mtoto wa Garang,Juzi kati amefukuzwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri la Sudan Kusini baada ya kuingia akiwa amevaa swag zisizo na hadhi ya Uwaziri.Rais akamtimua toka kwenye kikao,dogo alivyotoka nje akawambia waandishi kuwa "badala Rais azingatie ukosefu wa mafuta Sudan Kusini mpaka watu wanapata shida,ye anaangalia mavazi yake".Kapewa Uwaziri wa Wizara ya Maji.
Hapa chini ni Mike Sonko kaandika leo hivi
Ladies and gentlemen, introducing the current Minister for Water Resources and Irrigation in the Republic of South Sudan, Hon Mabior Garang De Mabior, son to Former President, Dr Garang... He is serving in the Unity government courtesy of Dr Riek Machar. All the best Mheshimiwa.... We are African and Africa is our Business..