Kutana na James Hobson, Injinia anayetengeza characters wa Marvels & DC Comics, video games kuwa halisia

Kuna mtu anaitwa ALEX JOB youtube ingia cheki alitengeneza Pulsor energy, ule mwanga anaotoa Iron Man mikononi!. Na unalipua kabisa!.
Sijamuona huyu mkuu. Ngoja nimfuatilie ila nae huyu alitumia maji kupaa kama iron man
 
ubunifu ndiyo kitu waafrika karibia wote hatuna, yaani vitu vya kufikirika tunafikiri vitabaki kuwa vya kufikirika huku wenzetu wazungu wanaanzaga na idea ya kufikirika kisha baadae hupambana kuifanya kuwa kweli. Wanaweza kweli.

ulishawahi kujiuliza kwanini FANTASY BOOKS vinauza sana huko majuu, kwa mfano kitabu cha LORD OF THE RINGS, jibu ni kwamba kwenye hivyo vitabu kuna new ideas kibao ambazo huzigeuza kuwa teknolojia za kweli ili kurahisisha maisha.

Fatilia kitabu cha LORD OF THE RINGS, fatilia na movie yake utapata cha kujifunza.
 
Mkuu hii ni kweli mkuu lakini nadhani mazingira na sera za nchi yetu zinachangia % kubwa vijana kutotumia ubunifu wao.

Nitakitafuta hiko kitabu nikisome..
 
The thing is,i dont know what am capable of??!!
We dont have time to find it out,
What we have to do is always unknown
Sema sometimes naona tumewekewa limit ya kutofanya vitu flani
 
Back
Top Bottom