Mi nafikili viongozi wetu sa nyingine hawajui faida ya kuweka miundombinu mizuri, kukosekana uwanja wa ndege wa maana Mwanza ni kudumaza uchumi wa nchi.Hii ni vita baridi kati ya kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini.
Unaweza unapigana vita na rais wa nchi?Mwenye nchi katokea Kanda ya ziwa, sasa pasiporekebishwa ndo tutajua kati ya Kanda ya ziwa vs Kanda ya kaskazini nani mbabe!Hii ni vita baridi kati ya kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini.
Ni kweli ukiangalia jiografia ya jiji la Mwanza lipo karibu sana mbuga ya serengeti kama uwanja wa ndege unatengenezwa Mwanza itapokea watalii wengi sana wa nje na wa ndani.Mi nafikili viongozi wetu sa nyingine hawajui faida ya kuweka miundombinu mizuri, kukosekana uwanja wa ndege wa maana Mwanza ni kudumaza uchumi wa nchi.
Mkuu mimi sina uongozi wowote mie ni mtu wa kawaida sana nadhani ni vyema kujibu hoja ya mleta huu uzi kuliko kunishambulia mimi.Mbona kila mtu anahofu na kanda ya kaskazini? Kwenye siasa Kanda ya kaskazini? masuala ya kiuchumi Kanda ya kaskazini? Vyuoni na Makazini Kanda ya kaskazini? Hii hofu ya hii kanda inatokana na nini? Mi sikuwahi kusikia kanda ya kaskazini ikilaumu kanda zingine, shida ni nini?
Ritz we ni kiongozi mkubwa wakati mwingine jiulize sana statement unazoandika ama kusema ndio chanzo kikubwa cha watu kujenga chuki dhidi yako na familia yenu, ni ushauri tu hutaki unaacha.
Unamfahamu kiongozi? Kweli watu ni ma spykwa hiyo ubunge sio uongozi?
Yani kwa akili yako wajenge uwanja wa kimataifa Mugumu na si Mwanza? Au kwa mawazo yako international airport inahudumia watalii tu? Mugumu inatakiwa ijengwe airport yenye hadhi ya mkoaUwanja wa ndege unapaswa kujengwa Mugumu Serengeti Na sio mwanza.maana ndiko iliko hifadhi ya Serengeti.Na iko kwenye plan Na sio vinginevyo
Mkuu baada ya msimu wa watalii huo uwanja hapo Mugumu watabaki nyani tu wanacheza na swala.Uwanja wa ndege unapaswa kujengwa Mugumu Serengeti Na sio mwanza.maana ndiko iliko hifadhi ya Serengeti.Na iko kwenye plan Na sio
Bajeti ya ukarabati wa uhwnzi huu ni tsh biluoni 105Daah juzi star TV nimemuona waziri husika anasema kwa mwaka huu wa fedha, serikali imetenga million 100 kwa ajili ya kukarabati uwanja wa ndege wa mwz, hivi 100 mil ni pesa kweli ya kukarabati uwanja wa ndege au? Daah afu ukiwa unashuka na ndege hapo uwanjani, zile paa zinatia aibu kwa kweli mabati yameoza balaa, njoo kantini yao Utashangaa kama vile uko gengeni kwa mama minza. Mh. JPM ajitahid kuparekebisha hapo airport.
Hahaha..Mkuu baada ya msimu wa watalii huo uwanja hapo Mugumu watabaki nyani tu wanacheza na swala.
Makada wa CCM mmeshakula nyama ya binadamu hamtaacha kuila kamwe.Hii ni vita baridi kati ya kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini.
Huyo bwana/bibi uliyemjibu ameandika uwanja wa ndege inapaswa kujengwa MUGUMU Serengeti, hakuna sehemu aliyoandika UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA. Ukiamua kumjibu mtu uzingatie maandiko yake na sio ushabiki au kutumia mhemko mkuu. Maana mwisho wa post yako umekubaliana na point yake bila kujielewa.Yani kwa akili yako wajenge uwanja wa kimataifa Mugumu na si Mwanza? Au kwa mawazo yako international airport inahudumia watalii tu? Mugumu inatakiwa ijengwe airport yenye hadhi ya mkoa
Mkuu naona wewe ndio unajichanganya, labda kwa kukusaidia tu, kila mjadala unakuwa guided na major premise, major premise hapa ni ujenzi wa uwanja wa mwanza unaojengwa kwa kiwango cha kimataifa, yeye kasema ujengwe mugumu, in other words, the project of the same magnitude upelekwe mugumu na si mwanza cz mwanza hawajengi uwanja wa kawaida wa ndege, kama una ka IQ kadogo tu utaelewa, otherwise hata nikueleweshe vipi hautaelewa ila tu tambua kila mjadala una major premise inayo guide kila kitu.Huyo bwana/bibi uliyemjibu ameandika uwanja wa ndege inapaswa kujengwa MUGUMU Serengeti, hakuna sehemu aliyoandika UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA. Ukiamua kumjibu mtu uzingatie maandiko yake na sio ushabiki au kutumia mhemko mkuu. Maana mwisho wa post yako umekubaliana na point yake bila kujielewa.
Cz kama una suggest kwamba mimi nakosea hapa basi hata yeye aliyesema uende mugumu amekosea au wewe ndio haujamuelewa. kama issue hapa ni kujenga uwanja wa kawaida basi hizi ni hoja mbili tofauti, mimi naongelea uwanja wa ndege wa kimataifa (Macro project), wewe una suggest uwanja wa ndege not necessarily wa kimataifa (micro project), kama ndio hivyo hamna ugomvi wajenge tu na yeye atakuwa ajanielewa cz mi sipingi kujengwa uwanja wa ndege mugumu bali napinga wa kimataifa. very simple logic. Hata huyo aliesema ujengwe mugumu naamini asilimia 100 he or she meant a macro project.Huyo bwana/bibi uliyemjibu ameandika uwanja wa ndege inapaswa kujengwa MUGUMU Serengeti, hakuna sehemu aliyoandika UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA. Ukiamua kumjibu mtu uzingatie maandiko yake na sio ushabiki au kutumia mhemko mkuu. Maana mwisho wa post yako umekubaliana na point yake bila kujielewa.