UPOPO
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,531
- 5,609
Ndugu madhabahu yako ndani ya roho yako.Pale panaweza kuwa sehemu sehemu yoyote ndio maana wanaweza hata kufanya hiyo shughuli uwanjani au sehemu yenye nafasi kubwa.majaliwa kuingia,tunaagizwa kuwa na upendo na watu wote,tuwapende bila kuwa judge kuwa nani.Majaliwa unaweza kufikiri ni mwislam lakini asiwe huko so usifikiria mtu kanisani au msikitini ni mmumuni wa hicho.kitu.Wengine ni wachawi,wana vitu wanavyoviabudu nk.so madhabahu kamili yako ndani yako hayo mengine ni.majengo tu
Hapa tu ndio huwa nawadharaugi sana viongozi wa dini, hususani Wagalatia. Kwa sababu.
1/Wanatoa madhabahu zao kuwa majukwaa ya kisiasa na kiserikali. Kwa mfano hapo Kasimu Majaliwa(Ambaye hata kiimani sio Mkristo wala Mlutheri) anapewa madhabahabu na kuanza kutoa hotuba za kisiasa na kiserikali.
2/Wanaacha taratibu zao rasmi za kufanya ibada ili tu kiruhusu itifaki za viongozi wa Kisiasa na kiserikali zifanye kazi kanisani. Yaani ibada itawahi au kuchelewa kuanza au itachelewa kwisha kisa tu kuna kiongozi wa serikali yuko hapo. Kuna mahubiri hayatahubiriwa kisa tu yanaweza kumkwaza mwanasiasa fulani hapo kanisani.
Usishangae leo hapo kanisani waumini wakibuhudhiwa na maafisa usalama kisa tu, waziri mkuu Kassimu Majaliwa yupo hapo.