Kushuka kwa ubora wa ligi kuu Ya Tanzania walaumiwe Bodi ya ligi na TFF kwa kuwachekea marefa wanaochezesha hovyo kwa kuzilinda Simba SC na Yanga Sc

Kama una akili na ubbongo unaofanya kazi hilo shirika ni la mchongo sana. Hawana takwimu za maana na zenye ukweli.

Ukizungumza mpira wa afrika takwimu sahihi na zenye vigezo ni za caf,za dunia ni FifA, Ulaya ni Uefa.

Nb: Unakumbuka walimweka Yanga nafasi ya 3 Afrika kwamba Yanga ni bora zaidi ya hata bingwa wa cafcc.
KWA HIYO UNATAKA KUSEMA LIGI YETU INASHIKA NAFASI YA KWANZA
 
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za mpira wa Miguu (IFHHS) limetoa takwimu ya Ligi 10 bora Afrika kwa mwaka 2023 na Tanzania imeshika nafasi ya 6 kutoka ya 5 mwaka 2022.

Pia kidunia imetoka nafasi ya 39 mwaka 2022 hadi ya 64 mwaka 2023.

Maoni Yangu: Sasa tupo nafasi 6 na siyo 5 Tena Kama tulivyokua tunajipa moyo na kujisifu katika ligi yetu.

NALIA NGWENA nilishangaa sana kuona ligi yetu ipo nafasi ya tano kwa ubora lakini ukiangalia kwenye michuano ya AFCON hakuna hata Refa kutoka katika ligi yetu hii inafikirisha sana.

Sasa ligi yetu inafatiliwa duniani kote Utumbo na uchezeshaji wa hovyo wa marefa kuzibeba Simba sc na Yanga sc inapelekea kushuka kiwango.

TFF na Bodi ya ligi na Marefa ndiyo wamechangia pakubwa kushuka ubora wa ligi yetu NBCPL.View attachment 2882454
SImba Sports Club
Young African Sports. Hakuna club mbele ya jina
 
Lawama zako ziko one-sided kwa vile huangalii kuwa nchi zilioishusha Tanzania zimefanyaje. Kwa mfano isingekushangaza kwa South Africa kuishusha Tanzania ngazi moja kwani hata mwaka jana walikuwa sikio kwa sikio; safari hii ligi ya SA imepnda wakati ligi ya Tanzania haikupanda.

Nchi nyingine zilizopanda kuishusha Tanzania kidunia zote zimepnda lakini siyom kuwa Tanzania ilitelemka, yaani status ya Tanzania haikubadilika wakati status za wengine zilikuwa chanya, na vile vile kuna nchi ambazo zilikuwa hasi.
 
Wakulaumiwa ni utopolo haiwezekan toka waanze kubeba makombe ligi imeshuka ubora na sababu kuu ni kupitisha bahasha kwa team pinzani na utopolo. Nalaani michechozo michafu kakatika ligi yetu viongozi wa utopolo inabidi wachungunzweView attachment 2882485
Wa kulaumiwa ni wale wanaojiita timu kubwa Africa halafu wanapigwa tano na timu ya wananchi
 
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za mpira wa Miguu (IFHHS) limetoa takwimu ya Ligi 10 bora Afrika kwa mwaka 2023 na Tanzania imeshika nafasi ya 6 kutoka ya 5 mwaka 2022.

Pia kidunia imetoka nafasi ya 39 mwaka 2022 hadi ya 64 mwaka 2023.

Maoni Yangu: Sasa tupo nafasi 6 na siyo 5 Tena Kama tulivyokua tunajipa moyo na kujisifu katika ligi yetu.

NALIA NGWENA nilishangaa sana kuona ligi yetu ipo nafasi ya tano kwa ubora lakini ukiangalia kwenye michuano ya AFCON hakuna hata Refa kutoka katika ligi yetu hii inafikirisha sana.

Sasa ligi yetu inafatiliwa duniani kote Utumbo na uchezeshaji wa hovyo wa marefa kuzibeba Simba sc na Yanga sc inapelekea kushuka kiwango.

TFF na Bodi ya ligi na Marefa ndiyo wamechangia pakubwa kushuka ubora wa ligi yetu NBCPL.View attachment 2882454
Alaumiwe Walezi Kalio
 
Kuna vitu uwa sivielewi, inawezekana vipi ligi yetu iwe ya 5/6 Afrika wakati timu zinacheza taratibu ,pass zinapotea hovyo, asilimia kubwa ya wachezji awawezi ku receive au kutoa pass ya kawaida ndani ya eneo la mita 10

Nguvu na ufundi viko Chini.
Viwanja vibovu, Marefa wabovu.
Intensity ya game ipo Chini na wachezji wengi wanachoka ndani ya dk 70.

Inawezekana vipi mchezaji ambaye maisha Yako yanategemea mpira achoke ndani ya dk 90 wakati izo dk 90 ni mazoezi binafsi ya mchezaji kabla ya kukutana na mwalimu na kuanza mazoezi ya pamoja katika program wachezaji na Kocha!!
Ingia siku moja ugawe pasi pale Waone mfano Ukate mzizi wa fitina
 
Kuna vitu uwa sivielewi, inawezekana vipi ligi yetu iwe ya 5/6 Afrika wakati timu zinacheza taratibu ,pass zinapotea hovyo, asilimia kubwa ya wachezji awawezi ku receive au kutoa pass ya kawaida ndani ya eneo la mita 10

Nguvu na ufundi viko Chini.
Viwanja vibovu, Marefa wabovu.
Intensity ya game ipo Chini na wachezji wengi wanachoka ndani ya dk 70.

Inawezekana vipi mchezaji ambaye maisha Yako yanategemea mpira achoke ndani ya dk 90 wakati izo dk 90 ni mazoezi binafsi ya mchezaji kabla ya kukutana na mwalimu na kuanza mazoezi ya pamoja katika program wachezaji na Kocha!!
Hizo ulizotaja ni sifa za wachezaji wetu wazawa maana kwako Mpira ni kama sehemu ya kujifurahisha Tu na sio KAZI.
 
Back
Top Bottom