NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,571
- 13,399
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za mpira wa Miguu (IFHHS) limetoa takwimu ya Ligi 10 bora Afrika kwa mwaka 2023 na Tanzania imeshika nafasi ya 6 kutoka ya 5 mwaka 2022.
Pia kidunia imetoka nafasi ya 39 mwaka 2022 hadi ya 64 mwaka 2023.
Maoni Yangu: Sasa tupo nafasi 6 na siyo 5 Tena Kama tulivyokua tunajipa moyo na kujisifu katika ligi yetu.
NALIA NGWENA nilishangaa sana kuona ligi yetu ipo nafasi ya tano kwa ubora lakini ukiangalia kwenye michuano ya AFCON hakuna hata Refa kutoka katika ligi yetu hii inafikirisha sana.
Sasa ligi yetu inafatiliwa duniani kote Utumbo na uchezeshaji wa hovyo wa marefa kuzibeba Simba sc na Yanga sc inapelekea kushuka kiwango.
TFF na Bodi ya ligi na Marefa ndiyo wamechangia pakubwa kushuka ubora wa ligi yetu NBCPL.