Kupendwa raha jamani

Havionekani ila naweka hivi
-All at once
-Children of our future
-nk nk
Kiongozi bado kwako havionekani!

Hizo ulizozitaja za zamani kidogo, si za Album yake hii ya mwisho ya kuitwa I look to you.

Album yake ya mwisho masikini hakufanikiwa kutengeneza Video hata moja.

Video kama hiyo ya kibao chake like I never left, vipande vipande vyake vya Video, tofauti tofauti wamechomekea.

Na Video zake nyingi ukitaka aonekane anaimba za kuchomekea vipande vipande ikiwemo Matamasha mbali mbali, akiwa anapokea tuzo, ikiwemo na vipande vya filamu zake ikiwemo The Bodyguard.

Lakini si Video halisi za Wimbo husika
 
Sawa kaka natamani angeishi amalizie kazi zake
 
Kibao hiki (I look to you) kinachobeba Album, kwa kweli huwa kinanigusa sana.

Kiongozi unaweza kulia.

Walahi kama mtu wa machozi, lazima yakububujike.

Hebu kisikilize

Asamehewe tuu hatujui aliyokuwa anapitia
Kwa kweli akiwa Mwanaadam kama yoyote yule, tukiwemo mimi na wewe.

Kila mmoja ana mapungufu na makosa yake, hakuna aliemkamilifu

Mungu amsamehe makosa yake na amfanyie wepesi maisha yake aliyopo sasa (maisha ya milele)
 
Inshallah amina...!
 
Sawa kaka natamani angeishi amalizie kazi zake
Mfano hai.
Kiongozi angalia kibao hiki nilichokiweka jana For the lovers, kibao ni kile kile ila hiki wamechomekea vipande, sio Video halisi ya wimbo.

Hebu kiangalie

Similar Discussions

Back
Top Bottom