GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,279
- 2,913
Ushauri nzuriNakushauri tafta nyumba yyte itakayokufaa kuishi. Kutafta chumba NHC ni njozi utapoteza mda wako. Mbona ayo maeneo ya Sinza nyumba zipo kibao Mkuu.
Kuna jamaa yangu anafukuzia vyumba vya NHC tangu 2012 (miaka minne) hajawai kukipata wala kuona dalili hizo tena hapohapo Shekilango