Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,782
- 4,108
Ukweli mchungu.
Nikiwa chuo washkaji zangu wengi walikua wanaponea huko, hata wale ambao walikua wastaarabu sana na kuonekana watu wa dini nao waliponea huko.
Wapo wanaofurahia huduma na kusogezewa mpaka nyumbani pindi wanapoihitaji.
Huu mchezo hauhitaji hasira xo kama umekwazika samahani.