Kuna uhusiano gani kati ya CHADEMA na Gwajima?

nijuavyo mm jemedari wa vita ya madawa ya kulevya ni kamishna wa mapambano dhidi ya madawa ya kulevya na kwa uwezo wangu wa kuhabarika kupitia various news source cjawahi kusikia CHADEMA wanapambana na kamishna huyo.....Km vita hipo kweli kwa tafakuri zangu km ikitokea ikidhorota si kwa sababu ya CHADEMA na Askofu mchungaji Gwajima......Kwa 7bu vyombo tendaji na husika vipo.
Kwahiyo sababu kuna kamishna mwingine akupiga vita mihadarati ni adui wa Chadema?
 
Just simple.

The enemy of my enemy is my friend.

Ungekuwa great thinker hata kidogo tu usingepost hiyo mada sema umetaka weka siasa tu
 
Katika wiki za karibuni kumekuwa na ushirika mkubwa sana kati ya Chadema na wafuasi wake wakishirikiana na Gwajima.Naam nimeshuhudia kwa wingi wa kutosha viongozi na wafuasi wa Chadema wakiwa washabiki wakubwa kuhudhuria ibada katika kanisa la "ufufuo na uzima" linalomilikiwa na Gwajama aka mzee wa misukule.

Je wote wameamua kudhoofisha vita dhidi ya mihadarati? au kanisa la Gwajima ni tawi la Chadema?...au?...au????

Wenye ujuvi wa mambo tupeni elimu
wote ni wapinzani wa ccm.
 
Wote ni watanzania tu .
 
Chadema haipambani dhidi ya vita ya madawa ya kulevya..

Umesikia wapi CDM wakipinga vita hii??

Tena Rais alivyomteuwa Kamishna mpya wa madawa ya Kulevya Bw Sianga CDM walipongeza sana.

CDM inapinga mambo mengine kabisa kama wizi wa vyeti vya Taaluma.. Kama huu uliomkumba Daudi Bashite, RC wa Dsm.
 
Katika wiki za karibuni kumekuwa na ushirika mkubwa sana kati ya Chadema na wafuasi wake wakishirikiana na Gwajima.Naam nimeshuhudia kwa wingi wa kutosha viongozi na wafuasi wa Chadema wakiwa washabiki wakubwa kuhudhuria ibada katika kanisa la "ufufuo na uzima" linalomilikiwa na Gwajama aka mzee wa misukule.

Je wote wameamua kudhoofisha vita dhidi ya mihadarati? au kanisa la Gwajima ni tawi la Chadema?...au?...au????

Wenye ujuvi wa mambo tupeni elimu
Unatakiwa uanze kwanza kutwambia wewe uhusiano ulionao na Gwajima kwa kuwa na wewe ni miongoni mwawahudhuriaji wa ibada za Gwajima ndio maana ukawaona na washirika wenzako wa Gwajima.
 
Well swali zuri sana, uhusiano uliopo kati ya Gwajima na Chadema, ni sawa kabisa na uhusiano iliopo kati ya CCM na Clouds FM

Na pia ni sawa kabisa na uhusiano umbao unajengwa kwa sasa kati ya CCM na KKT

Utaona kua uhusiano wa CCM na Clouds FM umekua ni wa karibu mno, kuliko hata uhusino CCM na redio UHURU, na uhusiano huo umepelekea hata Serikali kua karibu na Clouds FM kuliko TBC kwa sasa ...

Upo hapo Nyonyo!!! una swali lingine?
 
Unatakiwa uanze kwanza kutwambia wewe uhusiano ulionao na Gwajima kwa kuwa na wewe ni miongoni mwawahudhuriaji wa ibada za Gwajima ndio maana ukawaona na washirika wenzako wa Gwajima.
Acha jazba,jibu swali?
 
Back
Top Bottom