Fredinho
JF-Expert Member
- May 18, 2016
- 971
- 1,160
Mambo ya ndoa siku hizi yanachanganya kiasi kwamba unaweza kushauri kumbe unapoteza,'kijamaa' ndoa ilikuwa kusubiri,kupiga pasi nyingi na kufunga goli baada ya 'muvu' tamu na kuzaa ndani ya ndoa.'kibepari' fomesheni ziko nyingi mno... mno kitu muhimu ni ushindi tu siri ya mchezo muipange wenyewe.