Philomena3
JF-Expert Member
- Apr 24, 2024
- 1,416
- 3,452
Ukweli mchungu ni kwamba kuna Ile hali ya nafsi "kutokuamini juu ya kitu kibaya ulichofanyiwa na mtu wako wa karibu mwishowe kuleta maumivu ndani Ya moyo hali inayopelekea kutokusahau na kubaki na kovu moyoni"
1.Neno kiasi kwenye maandiko ya vitabu vyote kiimani halikuandikwa kimakosa
Tunapoambiwa fanya lakini iweni na kiasi too much is harmfully, mgema akisifiwa sana tembo hulitia maji yana Maana kubwa
Kitendo cha kujali sana watu na kuweka expectations kubwa ndio chanzo Cha mauaji na maasi yote kimahusiano pale ambapo unapitiliza "kiasi"
Just imagine mtu unajitoa kumpa mtu kazi, kumuonesha ramani, unamhudumia then anakusaliti
Hoja ya msingi ni
Usijinyime, kama unajua kile unacho kitoa kitakuuma una lipwa laki 3 mshahara unatoa 70k as your pocket 230k unampa mpenzi wako kwanini hapa usiumie pale atakapokusaliti
Unajitoa mhanga kutoa rafiki jela then baadae anakuja kukuibia ulishawahi kujiandaa kisaokojia kuwa atakuja kufanya tabia kama hizo ukimtolea dhamana
Unampa kazi then anakuja kukuchongea il achukue nafasi yako ulishawahi kujipanga kuhusu hayo
Unatoa huduma unajibana, siku akija kukukataa, jiandae kisaikolojia.
Lastly hapa duniani lazima kuna siku utakuwa dissapointed na watu wako muhimu sana kubali matokeo, pinga moyo konde afu songa mbele, simama imara
NB. Malipo na hapa hapa duniani