Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,727
Habarini nyote. Nawiwa kuja kwenu, kuuliza kuhusiana na undani wa hii cult, au hili kanisa linaloitwa Shincheonji Tanzania.
Nimekutana na watu na nimefanyiwa uinjilishaji, mpaka muda huu nasoma kwenye center yao.
Suala ni kwamba naona ni kama sielezwi kwa uwazi baadhi ya mambo. Kiukweli nina wasiwasi mno.
Kwa mwenye kujua chochote kuhusu hili kanisa aje hapa aeleze kwa faida ya wengi.
Natanguliza shukrani!