Kumekucha CCM vs UKAWA

Mimi Leo nimemnyima Huduma MTU kituoni kwangu kwa kua yeye ni ccm dam. Watu tukio serious.
hongera umepata faida gani???na umemnyima huduma kwa kuwa wewe hutataka huduma kwake yaani unauhakika wa kupata kila kitu bila yeye hongera sana
 
Duu mbona mambo yanazidi kuharibika. Tunapoelekea mambo yatazidi kuharibika. Raisi kama ni msikivu aliangalie hili kwa jicho la tatu.

Raisi Yupi unaye muongelea? Kama ni JPM, yeye ni CCM, hawezi kukiuka msimamo wa chama chake
 
UZURI ni kwamba WATANZANIA hatujafikia level hii ya kufanya MAIGIZO mnayotaka tufanye..afu MKAE MJUE vyama vya SIASA SI DINI ZETU wala MAKABILA YETU kiasi kwamba inaweza tenganisha umoja wetu.....NA KATIKA HILI MNAJIDANGANYA maana CDM haina ushawishi wowote kwa WATANZANIA kwa kipindi hichi ambacho WATANZANIA wote tunamuona MAGUFULI NDIO MKOMBOZI WETU.....kuthibitisha hili tuone kama mtafanikiwa mnachotaka kukifanya.....
AFU na nyie BAVICHA ebu mtuambie TOKEA huu mwaka umeanza mmeisha toa matamko mangapi juu ya SERIKALI HII na JE MAFANIKIO yenu juu ya HAYA MATAMKO ni yepi???...EBU TUPENI MREJESHO ili tuwasapoti katika hili....MAANA TUMEISHA WACHOKA NA MATAMKO YENU YA SIYO KUA NA KICHWA WALA MIGUU
..... usiwasemee watu,...
 
Back
Top Bottom