Kumekucha CCM vs UKAWA

Afadhali ya wewe umeongea suala la MSINGI SANA....
 
Ni uzuzu kutuaminisha kitu cha uwongo na takwimu zako za Lumumba vichochoroni..!
 
hao chadema hadi wanatoa tamko hilo hawajafanya uchunguzi
1)hawana impact yyy kwenue society hvyo lzm wanachi watawaona km wapuuzi
2)kama wangesema ccm sawa ila ila chadema hawana wafuasi wengi
3)20% ya wananchi ndo wanaunga mkono ukawa
 
Mtavuna mlichopanda.

Watu wanabisha kwa sababu za kishabiki tuu. Lakini chuki wanazopandikiza ccm ndizo zikizosababisha nchi zingine kufikia kuwekeana sumu, kujitoa muhanga kwa mabomu na hata kuchinjana.

Pemba 2001 ilifikia mahali watu wanaweka vinyesi kwenye visima vya maji kwa vile wameumizwa na hawana njia nyingine ya kulipiza.

Wenye kudharau hili na wadharau tuu
 
Jamani ....Jamani.... Jamani ......Watu wa Arusha mutakuwa munakumbuka yaliyokuwa yakitokea soko la kilombero na mpaka yakafika stendi kuu. Yasirudi huko jamani....
 
ukishaunga njoo utupe mrejesho wa hayo uliyoyaunga
 
 
Lengo la ujio wa vyama vingi vya kisiasa barani Africa mwanzoni mwa miaka 1990 hakikuwa hili tunaloluona . Yaani hata misiba na kusoma pamoja ni mwiko!! Hapana HAPANA HAPANA tena nasema HAPANA. Hii sio njia MUJARABU ya kumaliza migogoro. Tuvumiliane ndugu zangu tusiruhusu nchi yetu ipasuke kisa VYAMA VYA SI- HASA.
 
Nivizuri busara ikatumika kwa viongozi wetu kukaa mezani na kutafuta suluhu kuliko kuliacha hivi linavyoendelea sasa.
 

Mungu akusamehe maana hujui ulinenalo.
 

Kwa taarifa yako wananchi hawana sauti mbele ya wanasiasa. Wanasiasa ndio wanaopanga uishi vp, uhuru wanaokuachia ww ni chumbani kwako na mkeo kwenye tendo la kutafuta watoto tu. Sina kadi na wala sintokaa niwe nayo. Ila habari ndio hiyo.
 
sisi wananchi wa kawaida hayatuhusu hayo ushirikiano uko palepale
 
Kama chadema haina ushawishi, iweje dereva wa mwendo kasi azuiee mikutano yao? Time will tel.
 
ukisikia mbwembwe ndo hizi,wanafikiri bara ni sawa na zanzibar??kama wao wanajitenga wajitenge tu,waanze na kuwatenga na mama zao na baba zao maana baadhi yao ni wanaccm,hawatoamini na macho yao hayo wanayoyaongea yataishia hapohapo........
Mimi Leo nimemnyima Huduma MTU kituoni kwangu kwa kua yeye ni ccm dam. Watu tukio serious.
 
H
Kwa taarifa yako wananchi hawana sauti mbele ya wanasiasa. Wanasiasa ndio wanaopanga uishi vp, uhuru wanaokuachia ww ni chumbani kwako na mkeo kwenye tendo la kutafuta watoto tu. Sina kadi na wala sintokaa niwe nayo. Ila habari ndio hiyo.
Hili nalifahamu mapema sana,ila siwezi kuwa mnafiki,maana siasa ina tofauti ndogo sana na unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…