Mkuu,umegusa kitu muhimu ambacho sisi wanaume tulio wengi hatukijui,assurance kwa mwanamke kiu na maji,yaani mwanamke ni delicate kwa jinsi alivyoumbwa,kuanzia mwili na akili,namaanisha mwanamke katika uahi wake wote anahitaji faraja(peace of mind),ili aweze kuishi,hii inamaanisha asipate misukosuko ya aina yoyote sababu yeye ni mtu waa kubaki kambini kwa wakati wote mwanaume anapokwenda kuwinda,hivyo basi yeye niwakuletewa mawindo na kupewa hug na bwana wake,huku akibembelezwa,na hii ina apply mpaka leo dot com au kidigitali,ukitaka demu akuzimie na akupende basi wewe muhakikishie kiukweli kwamba wewe ndio ngao yake au mlinzi wake against any hassle au worry ya aina yoyote,kuanzia finance,security,emotional things,grief,yaani uwe multy purpose kwake yeye.
Kama wamepata wenza,basi sisi wenza wao tuwajengee uhakika wa maisha na pia wao si ubaya kama watajiongeza kwa kadri ya uwezo wao na wetu kujiongeza,lakini ni muhimu sisi wenzi wao kuwawekea uhakika ili kuwe na pozo la roho zao kwani wao ni pozo kwetu pia.Kwa hiyo unashauri nini kulingana na maisha ya sasa waendelee kupata uhakika wa kesho kwa mwanaume au watafute wa kwao?
Yaani wewe acha tu, ndiyo maana wale makapuku wenye confidence wanachukua watoto wazuri, wewe jiamani na hata kama huna pesa mwambie don't worry baby, every thing is under control, hiyo tu inatosha. Sasa wewe kwenye situation unapanick unataka binti afanye nini?