Kumbe vidume wenye 'Manyoya' tumboni tupo wachache!

Leo nimekwenda kuogelea mahali, tu my suprise, vidume wengi walikuwa na uhaba wa manyoya tumboni, ni wachache tu ndo tulikuwa na ka msitu ka Kongo!
Leo ndo nimegundua kwa nini wadada wengi walikuwa wananikata jicho japo nilikip low profile!
Hayo manyoya ni biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…