X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,344
- 14,114
- Thread starter
- #21
mkuu bado najifunza kiswahili...nieleweshe ili muda mwengine nirekebishe"Anarisi"
mkuu bado najifunza kiswahili...nieleweshe ili muda mwengine nirekebishe"Anarisi"
Kwahyo huyo jamaa miaka yote ameganda kwenye colonel tu cheo hakipandi au anakataa anajua akiongezeka cheo atabadilishwa maana kisheria lazima awe kanal maana haiwezekani miaka yote hapandi
nimekuwa nikichunguza kwa kina uongozi uliopita nichokigundua kuna system kubwa yenye mamlaka ya urais duniani au hapa nchini. tizama picha hii
mlinzi wa mheshimiwa Rais msataafu Dk.J.K.MRISHO ndie huyu huyu anae mlinda rais wa sasa. swali kwanini rais amerisishwa mlinzi wake?
maana nadhani ata kipindi kile cha mwanzo cha utawala wa MH.DK.J.K.MRISHO mlinzi wake alimrisi kutoka kwa Mkapa.
sasa kwanini kiongozi akiingia madalakani asiingie na mlinzi yeyote anayempenda yeye? kama anao uwezo wa kuteua viongozi wake wakuu kwanini achaguliwe mlinzi wa kumlinda?
nakupongeza kwa kuwa muwazi. na makosa ni sehemu ya kujifunza. usahihi ni KURITHI. aghalabu ni miongoni mwa maneno yanayoathiriwa na matamshi ya lugha mama (lugha za makabila yetu) au athari za maumbile ya viungo vinavyohusika katika kutamka maneno. hatahivyo hitilafu hizi hazimzuii mnufaikaji wa lugha kuelewa lengo la mtamkaji/mwandishi.mkuu bado najifunza kiswahili...nieleweshe ili muda mwengine nirekebishe
Tena taasisi inayochaguliwa na mfumo sisi ni wawakilishi na kwenye maamuz hatumoRais sio mtu ni taasisi.
Kila raisi ana ADC wake mpambe kilichobadilika ni kuwa humuoni huyo mpambe wake frequently au pengine hafai sare za Jeshi husika la nchi ila yupo mkuu, Na kila nchi ina protocol zake katika kuhandle na kurun system ya raisinshajiiliza sana kwa nn maraisi wa nchi kubwa hawana kitu kama hii nchi ndogo mara nyingi ndo wanazo
ASANTE MKUU UBARIKIWE SANA NAKUOMBA ILI UZIDI KUNISAIDIA NA KUSAIDIA WENGINE TUFUNGUE UZI MAALUM KWAAJIRI YA KUREKEBISHANA MANENO YA KISWAHILI...TUWE TUNATUMIA KISWAHILI FASAHA PLANETBONGO.COMnakupongeza kwa kuwa muwazi. na makosa ni sehemu ya kujifunza. usahihi ni KURITHI. aghalabu ni miongoni mwa maneno yanayoathiriwa na matamshi ya lugha mama (lugha za makabila yetu) au athari za maumbile ya viungo vinavyohusika katika kutamka maneno. hatahivyo hitilafu hizi hazimzuii mnufaikaji wa lugha kuelewa lengo la mtamkaji/mwandishi.
baadhi ya maneno ambayo hukosewa kwa wingi kwa muktadha huo ni:
*kuomba RAZI= radhi
*HAZI imeshuka=hadhi
*ARIZI/ARZI=ardhi
nimezawadiwa kito cha *SAMANI=thamani
*baba amechonga SAMANI=haina kosa (furniture)
*NGOMBE AMENGANGANIA *NGAMBO=ng'ombe ameng'ang'ania ng'ambo
*HELFU HISHIRINI=Elfu ishirini
*duka RA ushirika= la
***mkuu kwa haraka ni hayo. wadau wengine; wakiongozwa na faiza fox waje waongezee tujifunze sote. namkubali bi. faiza fox katika kukosoa sarufi za mabandiko mengi humu jukwaani. VIVA JF!
NADHANI KUNA KA UKWELI HAPO MAANA HATA TRUMPH ANAYE YULE MWANADADA KAMA SIJAKOSEA...PLANETBONGO.COMKila raisi ana ADC wake mpambe kilichobadilika ni kuwa humuoni huyo mpambe wake frequently au pengine hafai sare za Jeshi husika la nchi ila yupo mkuu, Na kila nchi ina protocol zake katika kuhandle na kurun system ya raisi
KUNA MKUU HAPO JUU KASEMA WANAO ILA TUU WAMETOFAUTIANA KIMUONEKANO...PLANETBONGO.COMnIshajiiUliza sana kwa nInI maraisi wa nchi kubwa hawana kitu kama hii nchi ndogo mara nyingi ndo wanazo
ASANTE KWA KUNIDADAVULIA MKUU SIKUWA NAYAJUA HAYO...PLANETBONGO.COMHuyo ni mpambe wa raisi kwa kimombo huitwa Aide de Camp ( ADC) huyo yupo kama alama tu apo, Ulinzi wa Raisi ni zaidi ya Uyaonayo Machoni Kuna mtu huwa anavaa mara nyingi nguo za kufanana na Raisi huwa upande mara nyingi wa kushoto mwa raisi Huyo ndio Kiongozi Wa walinzi wengine wote wa raisi ambao huambatana na mkulu Huitwa Detail Leader ana mamlaka ya juu Usalama wa raisi kuliko hata huyo mwenye jezi za Jwtz likitokea Varangati huyo Detailer leader ndio wa kwanza kumprotect raisi
ASANTE MKUU NI KWELI RAIS NI TAASISI TENA TAASISI YENYE MFUMO MKUBWA SANA...PLANETBONGO.COMTena taasisi inayochaguliwa na mfumo sisi ni wawakilishi na kwenye maamuz hatumo
Yenye muhimili mkubwa sana...ndani na nje ya nchi...PLANETBONGO.COMSystem......
asante sana mkuu....na wewe karibu hapa PLANETBONGO.COMKaribu mkuu
mfumo mpana wenye kila aina ya mapana ulimwenguni kote...PLANETBONGO.COMSystem......
asante mkuu...je kwa mujibu inatakiwa awe na cheo gani ili uwe kama huyo jamaa aliyepo nyuma ya MH.DK.JAKAYA KHARFANI MRISHO KIKWETE......?PLANETBONGO.COMIli uache kumlinda Rais moja labda upatwe na ugonjwa flani (maradhi) pili labda ufikie umri wa kustaafu kisheria na tatu labda upandishwe cheo. Mfano huyo unaesema karisishwa akipandishwa cheo na umri wa kustaafu ukiwa bado itabidi arudi jeshini aendelee kulitumikia jeshi kwa cheo chake kipya na atateuliwa MLINZI mwingine.
ASANTE MKUU NADHANI NILIWAFANANISHA BAADA YA KUONA WOTE NYUSO ZAO PANA NA WANAMIILI.PLANETBONGO.COMJk alianza na wake hakuriThi kutoka kwa mkapa... Alikuwa anaitwa Afande Abraham
itakauwa bado yupo kwenye system za kijeshi au amesha staafu? PLANETBONGO.COMwa jk alipanda hadi kuwa Brigedia....
Huyo sio mlinzi wa Rais bali ni mpambe wa Rais, hapo hata wembe tu hana achilia mbali bastola!Nimekuwa nikichunguza kwa kina uongozi uliopita nichokigundua kuna system kubwa yenye mamlaka ya urais duniani au hapa nchini. Tizama picha hii
Mlinzi wa mheshimiwa Rais msataafu Dk.J.K.MRISHO ndie huyu huyu anae mlinda rais wa sasa. swali kwanini rais amerisishwa mlinzi wake?
Maana nadhani ata kipindi kile cha mwanzo cha utawala wa MH.DK.J.K.MRISHO mlinzi wake alimrisi kutoka kwa Mkapa.
Sasa kwanini kiongozi akiingia madalakani asiingie na mlinzi yeyote anayempenda yeye? Kama anao uwezo wa kuteua viongozi wake wakuu kwanini achaguliwe mlinzi wa kumlinda?
huo mfumo wa kuwa na msaidizi mgongoni mwenye sare za jeshi ni utaratibu wa Uongereza na mataifa ya Commonwealth (yaliyowahi kuongozwa na Uingereza). Kw hyo kwa kuwa mataifa mengi ya dunia ya tatu yaliongozwa na Uingereza hasa Africa utadhan marais wanaokuwa na ma-ADC ni yale masikini. Google uone picha za Malkia wa Uingereza, cheki kote nilikotaja utaona tu.nshajiiliza sana kwa nn maraisi wa nchi kubwa hawana kitu kama hii nchi ndogo mara nyingi ndo wanazo
asante mkuu...huo mfumo wa kuwa na msaidizi mgongoni mwenye sare za jeshi ni utaratibu wa Uongereza na mataifa ya Commonwealth (yaliyowahi kuongozwa na Uingereza). Kw hyo kwa kuwa mataifa mengi ya dunia ya tatu yaliongozwa na Uingereza hasa Africa utadhan marais wanaokuwa na ma-ADC ni yale masikini. Google uone picha za Malkia wa Uingereza, cheki kote nilikotaja utaona tu.
Aliyekuwa hapandi nani? Yule aliyeanza na JK alishakuwa Brigedia Generali. Huyu aliye na JPM alipokea mwishoni kwa JK..Kwahyo huyo jamaa miaka yote ameganda kwenye colonel tu cheo hakipandi au anakataa anajua akiongezeka cheo atabadilishwa maana kisheria lazima awe kanal maana haiwezekani miaka yote hapandi