Mm sijaona kitu cha maana cha kujadili hapi ,kama anatumia mkono wa kushoto sasa sis watanzania tufanyeje??
kwani jf imekua daima tz au mawio? vp wewe mbona akili kiduchu.Hiz habari peleka kwenye gazeti lenu la uhuru.....hapa sio mahala pake....leta hoja
Ndo maana naona hiz habari za kutumia mkono wa left zina faa sana kwenye gazet la uhuru..ndo wanapenda kuandika hizo habariWewe kama umeona hivyo it's OK, lakini kuna wengine hawajui hilo, sasa kunihusisha na Lumumba kunakujaje. Be gentlemen (Maamini wewe ni He).
Achana nae huyo,analeta ushabiki wa simba na yanga.First Lady sio wa Lumumba tu bali ni wa watanzania wote. Mleta mada umefanya vizuri kufahamisha ushiriki wa First Lady katika kuhudumia makundi maalum katika jamii. tumemjua na tunapongeza hatua hii
Yaah jua sasaMimi sijui hilo, kwa sababu mimi si msomaji wa magazeti!
Sipendi ligi .....ila nakuambia ukwel ,habar za left sio tija kwa mwananchi wa kawaida...Mkuu unapenda sana Ligi zisizo na maana, haya endelea. Hii ni mara ya pili sasa.
Ili msisumbuane sna andika kuwa ...........................mama Lowasa akiwa natumia mkono wa kulia...........................Sipendi ligi .....ila nakuambia ukwel ,habar za left sio tija kwa mwananchi wa kawaida...
Mkuu, unajua we ndio umenistua? Mi nilivyoona kichwa cha habari nikadhani mama Magufuli kaachwa, kumbe ni mashoto? Sasa hapa tunajadiri nini? Hili jukwaa sasa hivi kweli limepoteza maana aise.Ndo maana naona hiz habari za kutumia mkono wa left zina faa sana kwenye gazet la uhuru..ndo wanapenda kuandika hizo habari
mlizani ni huyo mkee wa nywele nyeupe? Nahisi angekuwa yeye angefisadi hiyo misaada. Poleni sana inawauma mno.Ili msisumbuane sna andika kuwa ...........................mama Lowasa akiwa natumia mkono wa kulia...........................
Watu wanajifanya tu hapa.Mkuu unapenda sana Ligi zisizo na maana, haya endelea. Hii ni mara ya pili sasa.
Huenda ya awam hii itakuwa ya KUSAIDIA WAZEEHahaaaaa, kataasisi kale kanakuja wama part 2
Ukimwambia mtu ukwel analalama....Mkuu, unajua we ndio umenistua? Mi nilivyoona kichwa cha habari nikadhani mama Magufuli kaachwa, kumbe ni mashoto? Sasa hapa tunajadiri nini? Hili jukwaa sasa hivi kweli limepoteza maana aise.