Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 3,024
- 9,145
Hadi sasa mwaka huu 2024, watoa roho wakubwa walioongoza ni hawa:
1: Matatizo ya moyo
2: Stroke
3: Matatizo ya mapafu
4: Nimonia
5: Alzheimer na Dementia (kuathirika kwa akili na kazi zake muhimu)
6: Kansa ya mapafu
7: Kisukari
8: Ajali za bara barani
9: Magonjwa ya kuharisha
10: Kifua Kikuu
11: Matatizo ya ini
12: Matatizo ya figo
13: Kuzaliwa kabla ya wakati
14: HIV/AIDS
15: Shinikizo la juu la damu
16: Kansa ya ini
17: Kansa ya utumbo mpana
18: Kujiua
19: Kansa ya tumbo
20: Mtoto kukosa oksijeni ya kutosha kabla ya kuzaliwa au wakati anazaliwa au baada ya kuzaliwa. Pia kuharibika kwa tishu au viungo vya mtoto mchanga baada ya kuzaliwa kutokana na presha kubwa iliotumiwa katika uzaaji.
STAY SAFE GUYS.