Habarini zawakatihuu wakuu Kuna jambo linanisumbua takriban miezi 4 sasa
Prayers helps more than anything!
Tafuta mwenza awe anakuliwazaSawa mkuu asante kwa ushauri lakini sioni kama inaweza kuwa sababu ni mshahara
Na mimi ningependa kumsisitiza hapa,kufunga na kuomba ni njia mojawapo ya kuleta amani.Funga na kuomba Mungu atakupa Amani!
Ameeen shukraaan a lot nimekuelewa sanaaMaisha ni changamoto, haijalishi utakua na kipato kikubwa au kidogo challenges are always there, usiwe muoga just be strong. Pia usiwe unafanya comparison kati yako na wenzio utajiumiza sana just be you. Pia jipende wewe kama wewe utaweza pia kuwapenda wengine, jitafutie furaha anza na wewe mwenyewe kujipa furaha, usitegemee mtu mwingine akupe furaha anza mwenyewe kwanza and be the source of others to smile. Jichangange na wengine pia fanya michezo, mazoezi ya viungo, go gym, ride bike, go swimming, watch football, watch series movies, dance on urself, listen to musics, eat nicely, just live. Then tafuta girlfriend kama uko tayari then uoe usiwe mzinzi mzinzi ukimwi upo. Au kama bado sana jichanganye tu na marafiki kawaida, last but should be the first kwa Imani yako Mtangulize Mungu ktk kila jambo, we are His Kids He knows us well, He knows our needs and He has planned everything for us, so Mungu yupo na anatutia nguvu ktk kila jambo. Believe in Him and enjoy the gift of living.
Shukraan mkuuKwanza nikupe pole kwasababu nimepitia huko lakini kwa sasa hali imepungua kama si kuisha kabisa; Njia nilizotumia ni kama kuoa mtu sahihi, kuachana na tabia ya kutaka kuwa na maisha ya watu wengine, yaani kuishi uhalisia, kuzoma Quotes mbalimbali mtandaoni hasa positive, life and inspirational quotes, kuwa na muda mwingi wa kupumzika mfano nikitoka job lazima nipate japo saa moja la kulala, kujichanganya kwa marafiki, kusikiliza music na kujipa matumaini ya kuishi muda mwingi- hapa kwa mfano unapoona umeweka malengo lakini hayajatimia unajiambia mwenyewe kuwa bado nina muda mwingine wa kufanya na huwa nawaangalia wale wanaoonekana wamefanikiwa Mara nyingi huwa umri wao huwa ni kuanzia miaka 40 na kuendelea kwahiyo usilazimishe mafanikio muda usio mwafaka. Ahsante
Jaribu kubadili mfumo wa maisha, kufanya jambo moja au kufanya jambo lile lile kwa muda mrefu inaweza kusababisha msongo wa mawazo, au upweke wa moyo, jaribu jambo jipya, marafiki wapya, viwanja vipya ikiwezekana kama unaishi nyumba ya kupanga, hama mtaa kabisa nenda sehemu nyingine.Habarini zawakatihuu wakuu Kuna jambo linanisumbua takriban miezi 4 sasa
Nimekuwa mtu Ninae sononeka Nafsi yaaan moyo unakuwa unauma kabisa
Bila kujua chanzo ninini Nilihisi labda tatizo hili linaweza kunikabili kwa sababu ya ugumu wa maisha nilio kuwa nao nakuangaika mdamrefu kutafuta kazi bila mafanikio
Lakini mungu kanisaidia Nimepata kazi Nanina week mbili sasa tangu nianze kuifanya
Lakini ninacho staajabu bado nafsi yangu inauma haina amani kabisa bilakujua chanzo nini
Nimekuwa mtu wakusononeka moyoni tuu kila wakati
Limenishinda hili nimeona niwashirikishe wenzangu na wataalamu waweze kunisaidia kimawazo
Au kugundua shida iliyopo kwangu niipi
Kwasababu hali hii inanisababishia kukosa raha kabisa hata nifurahi furaha haidumu
Natanguliza shukraan zadhati
Hahaha hapo kwene same girl hapo .. Utampoteza mwenzioJaribu kubadili mfumo wa maisha, kufanya jambo moja au kufanya jambo lile lile kwa muda mrefu inaweza kusababisha msongo wa mawazo, au upweke wa moyo, jaribu jambo jipya, marafiki wapya, viwanja vipya ikiwezekana kama unaishi nyumba ya kupanga, hama mtaa kabisa nenda sehemu nyingine.
Kuna wakati nilikua nikisumbuliwa na tatizo hili, nikaja gundua kuwa naathiriwa na baadhi ya vitu nilivyoeleza hapo juu, ratiba ya maisha ya kila siku inafanana, kila siku unaamka same house, doing same staff kama vile formula, take same breakfast, same car and same route to office, meet same faces and do same shits all day, go lunch same place, at evening with same route go direct home at same house, same street and meet same faces at home, eat dinner and go to bed with same girl. LAZIMA UTACHANGANYIKIWA.