Kukopa Harusi Kulipa Matanga, Nchi Jirani yaelemewa na Deni yawaongezea Wananchi kodi LAKINI Wagomewa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,080
164,399
Kesho moto utawaka kwenye Bunge la Nchi jirani baada ya Wapigakura kuwaagiza Wabunge wao wasiipigie kura ya Ndio bajeti

Inasemekana Nchi hiyo Madeni yake mengi " yameiva" na haina namna ya kulipa zaidi ya kuongeza Kodi Kwenye kila kitu hadi Mkate

Tuzidi kuwaombea 😄
 
Huyu Mungu ana kazi nyingi sana kwa kweli... Kausha Damu haimuhusu.. hata sisi kila mmoja wetu anadaiwa takribani 1.5 mil, na hilo nao tumukabibidhi Mungu? Ni matope, habari za , " Tunakopesheka, Deni himilivu" na mastory ya namna hiyo yamejaa sana ingawaje wanaoshabikia hata credi card hawajawahi kuwa nayo na hawajui overdraft inavyo fanya kazi... siku mikopo yetu kiiva, jeshi lazima waingie mtaani watake wasitake maana hata wao hiyo hiyo 1.5 mil inawahusu...
 
Nchi jirani ziko nyingi bwashee usiwe kama Mwijaku vs Kipanya😂😂😂
Sasa unatupa kitendawili kama wote tulikuwa tunakunywa Whisky pale New Africa Hotel zama zile....

Kutaja kama ni Kenya uliona nini?? Au unadhani bado upo kwenye kiapo mlichopewa pale chuo Cha diplomasia zama zile kina Mkuchika wapo bize pale Twiga Hotel Samora Avenue!!
 
Huyu Mungu ana kazi nyingi sana kwa kweli... Kausha Damu haimuhusu.. hata sisi kila mmoja wetu anadaiwa takribani 1.5 mil, na hilo nao tumukabibidhi Mungu? Ni matope, habari za , " Tunakopesheka, Deni himilivu" na mastory ya namna hiyo yamejaa sana ingawaje wanaoshabikia hata credi card hawajawahi kuwa nayo na hawajui overdraft inavyo fanya kazi... siku mikopo yetu kiiva, jeshi lazima waingie mtaani watake wasitake maana hata wao hiyo hiyo 1.5 mil inawahusu...
 
Huyu Mungu ana kazi nyingi sana kwa kweli... Kausha Damu haimuhusu.. hata sisi kila mmoja wetu anadaiwa takribani 1.5 mil, na hilo nao tumukabibidhi Mungu? Ni matope, habari za , " Tunakopesheka, Deni himilivu" na mastory ya namna hiyo yamejaa sana ingawaje wanaoshabikia hata credi card hawajawahi kuwa nayo na hawajui overdraft inavyo fanya kazi... siku mikopo yetu kiiva, jeshi lazima waingie mtaani watake wasitake maana hata wao hiyo hiyo 1.5 mil inawahusu...
iive mara ngapi
 
Nchi yako madeni yangekuwa yanalipika mngegawa bandari, mngewafukuza wamasai ili mgawe eneo lao, mngegawa KIA n. k
 
Back
Top Bottom