kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,339
- 21,435
Jua mkuu siro ni mwanasiasa na hana jipya nakumbuka alipokuwa mkuu wa RPC tanga ndicho kipindi ambacho majambazi yalifanya kazi zao kwa uhuru zaidi kwa njia ya tanga horohoro hivyo hana jipya
Kwa nini mtu aondolewe wakati yeye anatekeleza majukumu kwa kufuata maelekezo.Aondolewe Mwigulu kwanza. Wizara imemshinda kabisa siyo siri.