Kuhusu Barcelona vs PSG, naomba nijibiwe kiufundi

Nazani barcilona watapewa ushindi kwan walichofanyiwa nao wanaweza kukifanya...pia sheria hiyo huwaga haifanyi kaz katika hatua ya mtoano.
 
Nazani barcilona watapewa ushindi kwan walichofanyiwa nao wanaweza kukifanya...pia sheria hiyo huwaga haifanyi kaz katika hatua ya mtoano.
 
REGULATIONS ZA UEFA HIZO HAPO
Screenshot_2017-02-15-11-45-47.png
 
Kwa uelewa wangu wa regulations za UEFA once a PSG isipoenda kucheza mchezo wake wa marudiano basi itakuwa imejitoa kwenye mashindano na matokeo ya mchezo wa awali yanafutwa
 
kwa sheria ya uefa timu isioenda uwanjani inatolewa kwenye mashindano

"If a club refuses to play or is responsible for a match not taking place or not being played in full, the Control and Disciplinary Body declares the match forfeited and/or disqualifies the club concerned in combination with the following fines"

na fine inafika hadi 1m euro.

soma zaidi hapa
http://www.uefa.com/MultimediaFiles.../Regulations/01/79/68/69/1796869_DOWNLOAD.pdf
 
watu wanaoipa Barcelona credit hawajui mpira wale jamaa msimu huu hawako vzr kabisa team haijtulia kabisa hadi man city kapita iweje psg
 
Barcelona jana walikuwa wanawaza Mapenzi tu uwanjani hawakuwa na uchezaji wowote , Forward yao aliyeonekana kugusa mpira sana ni NEYMA.
 
Kwashaa habariyao puyo xavi na alves wameondoka na bacerona yao imebaku jina tuuu sioile ninayoijua hata goli moja lakufutia machozi?
 
Wakuu soka lina maajabu,AC Millan waliwafunga Depotivo la Coluna gori 4 buyu,walipoenda Spain wakapigwa 5 buyu...game bado hii wazeiyaa..
Acha upotoshaji,AC Milan alimfunga Deportivo La Coruna 4-1 na mechi ya marudiano Deportivo akashinda 4-0
 
Barca watafuzu kwa kuwa PSG wataondolewa mashindanoni na kufungiwa kwa muda fulani na faini juu.
 
Wakuu soka lina maajabu,AC Millan waliwafunga Depotivo la Coluna gori 4 buyu,walipoenda Spain wakapigwa 5 buyu...game bado hii wazeiyaa..
Kama historia inajrudia bas amini ipo ckuTanzania bara itajtenga na Visiwan na Mjerumani atarud Tanganyika kuitawala.
Kuna mazingira ya Barca kufanya maajabu, itokee PSG icheze game mfululizo bila mapumzko hapa katikat kabla ya marudiano ya Barca na PSG hapo watakua hoi, itokee PSG wachezaj wake8 tegemez wapate majeraha ya kuwaweka nje muda mrefu, itokee mechi ya gafla ya vilabu Ulaya PSG wapewe kadi ambazo ztapelekea wamiss game ya marudiano, itokee wachezaj wa PSG wagome kucheza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom