Kuhusu AG/CJ na Rais wa TLS , wanasheria tafadhari

Jiulize swali moja Tu, la msingi ! Kwanini mnamshabikia Tundu kwa nguvu zote hizi !
IMG_20170226_180142.jpg
 
Tatzo hapa mnashindwa kuelewa na ninajua WENGI mtapingana na hili.....LISSU hana dhamira ya Dhati kabsa ya kwenda kuitumia TLS but anachokitaka LISSU au CDM hii kwao ni plan B ya kwenda kupambana na RAIS....
Hakuna mpinzani anezuiwa KUGOMBEA urais TLS....ilah je ni aina gani ya MTU anaeenda kugombea hiyo nafasi.....
Mfano tu leo hii tungesikia MWIGULU NCHEMBA au NAPE ndiye mgombea urais TLS UNAFIKIRI HOW COULD IT SOUNDS???
Tunajua kabsa LISSU ana haki ya kuwa mgombea but si mtu sahihi kabsa kuwa RAIS WA TLS....huyu dhamira yake kabsa na ya DHATI ni kwenda kupambna na MAGUFULI kupitia TLS.....trust me hii TLS lazima ife kibudu iwapo AU haitafanya kazi zake kiufanisi kabsa...
Afu kingne ni UPUUZI kabsa kumfanya LISSU rais wa TLS.....a guy ana majukumu mengi mno ya kiuongozi ukitumia hii fact ya MAJUKUMU ya kiongozi aliyo nayo LISSU lazima ukubali kuwa huyu JAMAA SIYO, hapo anaenda pambana na MAGUFULI TU.....KWANI
Na kuna tetesi CHAMA PIA KIMETOA kiasi fulani cha pesa kutoa sapoti ili jamaa ashinde.....hata kama LISSU angekuwa ni RAIS wa nchi hii asingekubali kuona NAPE anaenda gombea kuwa rais wa TLS.....
Me nawashauri tu wale wote watakaoshiriki katika zoezi hili la UCHAGUZI wasiwachague wale wote wenye makando kando ya VYAMA VYA SIASA kama kweli wanataka kuona TLS iliyo fanisi they have to go for a neutral candidate.....
Kumbe rais ni mwoga kiasi hicho?
Amirijeshi gani mwoga hivi??
Au viatu havimtoshi?
AACHE UTOTO.
 
Tatzo hapa mnashindwa kuelewa na ninajua WENGI mtapingana na hili.Lissu hana dhamira ya Dhati kabsa ya kwenda kuitumia TLS but anachokitaka LISSU au CDM hii kwao ni plan B ya kwenda kupambana na RAIS.

Hakuna mpinzani anezuiwa KUGOMBEA urais TLS....ilah je ni aina gani ya MTU anaeenda kugombea hiyo nafasi.

Mfano tu leo hii tungesikia MWIGULU NCHEMBA au NAPE ndiye mgombea urais TLS UNAFIKIRI HOW COULD IT SOUNDS?

Tunajua kabsa LISSU ana haki ya kuwa mgombea but si mtu sahihi kabsa kuwa RAIS WA TLS. Huyu dhamira yake kabsa na ya DHATI ni kwenda kupambna na MAGUFULI kupitia TLS. Trust me hii TLS lazima ife kibudu iwapo AU haitafanya kazi zake kiufanisi kabsa.

Afu kingne ni UPUUZI kabsa kumfanya LISSU rais wa TLS a guy ana majukumu mengi mno ya kiuongozi ukitumia hii fact ya MAJUKUMU ya kiongozi aliyo nayo LISSU lazima ukubali kuwa huyu JAMAA SIYO, hapo anaenda pambana na MAGUFULI TU KWANI

Na kuna tetesi CHAMA PIA KIMETOA kiasi fulani cha pesa kutoa sapoti ili jamaa ashinde hata kama LISSU angekuwa ni RAIS wa nchi hii asingekubali kuona NAPE anaenda gombea kuwa rais wa TLS.

Me nawashauri tu wale wote watakaoshiriki katika zoezi hili la UCHAGUZI wasiwachague wale wote wenye makando kando ya VYAMA VYA SIASA kama kweli wanataka kuona TLS iliyo fanisi they have to go for a neutral candidate.
Indeed "HOW COULD IT SOUNDS! "
 
Maneno Haya yamejaa HOFU juu ya Mtu huyo, Tundu Lissu.
 
Swali la kwanza.. Kama inavyofahamika kazi kubwa ya upinzani ni kuikosoa serikali..

Sasa basi nafikiri kama umekuwepo Tanzania utakuwa umepata kusikia ni kwa kiasi gani rais JPM amekuwa akitoa kauli tata kuhusu mambo ya kisheria haswa lile la kuwataka mawakili wanaowatetea watuhumiwa kuunganishwa pamoja na watuhumiwa wanaowatetea.. Kauli hiyo ilisemwa mbele ya rais wa TLS anayemaliza muda wake na alikenua tu!

Sasa faida kubwa ya TLS kuongozwa na mpinzani ni hatakuwa akivumilia kauli kama hizo zinazokiuka sheria za nchi na upinzani utapata msaada mkubwa kwani inapotokea jambo la hovyo linalokiuka sheria za nchi watajitokeza na kulisemea au hata kulilaani..
 
Disadvantage kwa serikali..
Kwa serikali hii ambayo matamko mengi na mambo mengi yamekuwa yakiendeshwa kwa kukiuka sheria(kama unafuatilia mambo na una akili timamu unaweza kuona)

Sasa hasara kubwa kwa serikali hii ni pale itakapokuwa ikikosolewa kila mara na kama unavyojua haitaki kukosolewa..yaani kila inachofanya na kutamka ni sahihi.
 
Tatzo hapa mnashindwa kuelewa na ninajua WENGI mtapingana na hili.Lissu hana dhamira ya Dhati kabsa ya kwenda kuitumia TLS but anachokitaka LISSU au CDM hii kwao ni plan B ya kwenda kupambana na RAIS.

Hakuna mpinzani anezuiwa KUGOMBEA urais TLS....ilah je ni aina gani ya MTU anaeenda kugombea hiyo nafasi.

Mfano tu leo hii tungesikia MWIGULU NCHEMBA au NAPE ndiye mgombea urais TLS UNAFIKIRI HOW COULD IT SOUNDS?

Tunajua kabsa LISSU ana haki ya kuwa mgombea but si mtu sahihi kabsa kuwa RAIS WA TLS. Huyu dhamira yake kabsa na ya DHATI ni kwenda kupambna na MAGUFULI kupitia TLS. Trust me hii TLS lazima ife kibudu iwapo AU haitafanya kazi zake kiufanisi kabsa.

Afu kingne ni UPUUZI kabsa kumfanya LISSU rais wa TLS a guy ana majukumu mengi mno ya kiuongozi ukitumia hii fact ya MAJUKUMU ya kiongozi aliyo nayo LISSU lazima ukubali kuwa huyu JAMAA SIYO, hapo anaenda pambana na MAGUFULI TU KWANI

Na kuna tetesi CHAMA PIA KIMETOA kiasi fulani cha pesa kutoa sapoti ili jamaa ashinde hata kama LISSU angekuwa ni RAIS wa nchi hii asingekubali kuona NAPE anaenda gombea kuwa rais wa TLS.

Me nawashauri tu wale wote watakaoshiriki katika zoezi hili la UCHAGUZI wasiwachague wale wote wenye makando kando ya VYAMA VYA SIASA kama kweli wanataka kuona TLS iliyo fanisi they have to go for a neutral candidate.
Unaulizwa hiki unajibu vitu tofauti kabisa...
 
Umetumia vigezo gan kusema anaenda kupambana na mh raisi na je unaifahamu vizur katiba yao TLS
 
Kwa akili yako japo ni kidogo unazani yupi asiye na makandokando ya siasa kuhusu vyeo huyo rais wako anavyeo vingapi?kama rais ndie mkuu wa mambo yote na anaongoza kwa kufuata sheria huyu jamaa anaenda kupambana nae ki vp tusaidie tupate kujua lkn kingine kwann unausemea moyo wa mtu na kumhukum kwa lile hujawahi kuona?lp kosa alofanya lisu ambalo ww unaona alilifanya kwa makusudi?kama kusema kweli nikosa basi lbd hapo haya pesa as wana wa kagera ziko so watu wasiseme,haya njaa upo watu wasiseme, matumizi ya pesa bila idhini ya bunge watu wasiseme na mengine mengi tu hv ww umerogwa au mi mpumbavu au zezeta unataka kutuaminisha nn leo wwwenye akili haba mpumbavu kabisa ww watu leo wanaonewa vibaya sana haikuumi watu wanaonewa pia viongozi kuwa na vyeti fek yote sawa bora nikuache lbd unamatatizo ki akili.
 
Tatzo hapa mnashindwa kuelewa na ninajua WENGI mtapingana na hili.Lissu hana dhamira ya Dhati kabsa ya kwenda kuitumia TLS but anachokitaka LISSU au CDM hii kwao ni plan B ya kwenda kupambana na RAIS.

Hakuna mpinzani anezuiwa KUGOMBEA urais TLS....ilah je ni aina gani ya MTU anaeenda kugombea hiyo nafasi.

Mfano tu leo hii tungesikia MWIGULU NCHEMBA au NAPE ndiye mgombea urais TLS UNAFIKIRI HOW COULD IT SOUNDS?

Tunajua kabsa LISSU ana haki ya kuwa mgombea but si mtu sahihi kabsa kuwa RAIS WA TLS. Huyu dhamira yake kabsa na ya DHATI ni kwenda kupambna na MAGUFULI kupitia TLS. Trust me hii TLS lazima ife kibudu iwapo AU haitafanya kazi zake kiufanisi kabsa.

Afu kingne ni UPUUZI kabsa kumfanya LISSU rais wa TLS a guy ana majukumu mengi mno ya kiuongozi ukitumia hii fact ya MAJUKUMU ya kiongozi aliyo nayo LISSU lazima ukubali kuwa huyu JAMAA SIYO, hapo anaenda pambana na MAGUFULI TU KWANI

Na kuna tetesi CHAMA PIA KIMETOA kiasi fulani cha pesa kutoa sapoti ili jamaa ashinde hata kama LISSU angekuwa ni RAIS wa nchi hii asingekubali kuona NAPE anaenda gombea kuwa rais wa TLS.

Me nawashauri tu wale wote watakaoshiriki katika zoezi hili la UCHAGUZI wasiwachague wale wote wenye makando kando ya VYAMA VYA SIASA kama kweli wanataka kuona TLS iliyo fanisi they have to go for a neutral candidate.
angegombea mtu wa ccm ingekuwaje
 
Kwa nini uhisi atapambana na rais? Na hata akijaribu kupambana mbona rais ana mamlaka makubwa sana! Itakuwaje Barcelona ihofu kupambana na Toto Africa? Mawazo hayo ni kumdhalilisha rais!
 
Tatzo hapa mnashindwa kuelewa na ninajua WENGI mtapingana na hili.Lissu hana dhamira ya Dhati kabsa ya kwenda kuitumia TLS but anachokitaka LISSU au CDM hii kwao ni plan B ya kwenda kupambana na RAIS.

Hakuna mpinzani anezuiwa KUGOMBEA urais TLS....ilah je ni aina gani ya MTU anaeenda kugombea hiyo nafasi.

Mfano tu leo hii tungesikia MWIGULU NCHEMBA au NAPE ndiye mgombea urais TLS UNAFIKIRI HOW COULD IT SOUNDS?

Tunajua kabsa LISSU ana haki ya kuwa mgombea but si mtu sahihi kabsa kuwa RAIS WA TLS. Huyu dhamira yake kabsa na ya DHATI ni kwenda kupambna na MAGUFULI kupitia TLS. Trust me hii TLS lazima ife kibudu iwapo AU haitafanya kazi zake kiufanisi kabsa.

Afu kingne ni UPUUZI kabsa kumfanya LISSU rais wa TLS a guy ana majukumu mengi mno ya kiuongozi ukitumia hii fact ya MAJUKUMU ya kiongozi aliyo nayo LISSU lazima ukubali kuwa huyu JAMAA SIYO, hapo anaenda pambana na MAGUFULI TU KWANI

Na kuna tetesi CHAMA PIA KIMETOA kiasi fulani cha pesa kutoa sapoti ili jamaa ashinde hata kama LISSU angekuwa ni RAIS wa nchi hii asingekubali kuona NAPE anaenda gombea kuwa rais wa TLS.

Me nawashauri tu wale wote watakaoshiriki katika zoezi hili la UCHAGUZI wasiwachague wale wote wenye makando kando ya VYAMA VYA SIASA kama kweli wanataka kuona TLS iliyo fanisi they have to go for a neutral candidate.
Mbona mkuu unaharishaharisha tu wala hueleweki? Mleta mada (pamoja na kwamba ni bush lawyer) kawatoeni jasho nyie wanasheria wa ccm. Jibu la maswali yake yote ni kwamba CCM haitaki kiongozi wa TLS anayejitambua!!
 
Tatzo hapa mnashindwa kuelewa na ninajua WENGI mtapingana na hili.Lissu hana dhamira ya Dhati kabsa ya kwenda kuitumia TLS but anachokitaka LISSU au CDM hii kwao ni plan B ya kwenda kupambana na RAIS.

Hakuna mpinzani anezuiwa KUGOMBEA urais TLS....ilah je ni aina gani ya MTU anaeenda kugombea hiyo nafasi.

Mfano tu leo hii tungesikia MWIGULU NCHEMBA au NAPE ndiye mgombea urais TLS UNAFIKIRI HOW COULD IT SOUNDS?

Tunajua kabsa LISSU ana haki ya kuwa mgombea but si mtu sahihi kabsa kuwa RAIS WA TLS. Huyu dhamira yake kabsa na ya DHATI ni kwenda kupambna na MAGUFULI kupitia TLS. Trust me hii TLS lazima ife kibudu iwapo AU haitafanya kazi zake kiufanisi kabsa.

Afu kingne ni UPUUZI kabsa kumfanya LISSU rais wa TLS a guy ana majukumu mengi mno ya kiuongozi ukitumia hii fact ya MAJUKUMU ya kiongozi aliyo nayo LISSU lazima ukubali kuwa huyu JAMAA SIYO, hapo anaenda pambana na MAGUFULI TU KWANI

Na kuna tetesi CHAMA PIA KIMETOA kiasi fulani cha pesa kutoa sapoti ili jamaa ashinde hata kama LISSU angekuwa ni RAIS wa nchi hii asingekubali kuona NAPE anaenda gombea kuwa rais wa TLS.

Me nawashauri tu wale wote watakaoshiriki katika zoezi hili la UCHAGUZI wasiwachague wale wote wenye makando kando ya VYAMA VYA SIASA kama kweli wanataka kuona TLS iliyo fanisi they have to go for a neutral candidate.
sasa usahihi wa mgombea si iachiwe TLS yenyewe iamue.
 
Back
Top Bottom