BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,937
- 11,259
Ongea kiswaili wengine sie mabashitedrinking the same bitter cup!
Ongea kiswaili wengine sie mabashitedrinking the same bitter cup!
Hapa tunazungumzia wenye uwezo wa kulipa kodi 75k kushuka chiniNilikuwa napanga Nyumba nalipa 400000 kwa mezi,nimokopa nikajenga Nyumba nanimehamia sina shida kabisa uache uongo we we,kukopa kunasaidia sana tu
Usijali ninapitia uzoefu wako!Ongea kiswaili wengine sie mabashite
Ha ha ha ainasaidia sana mkuu hauumizi kichwa kinachoumiza kwenye mikopo ni kukopa wakat huna kitu,,unaiweka kwenye mzunguko bahat mbaya inagota,,lazma uchanganyikiweHii njia yako nitaanza na mimi kuitumia, naona ina manufaa
Ha ha ha umenifurahisha sana,muda mwngine kudaiwa kuna kufanya uongeze juhud zaid ya kutafuta,ila nyumba yako inafaida gan kama unaishi na maisha ya shida na stress... Sio kila aliepanga hawez kujenga,kuna aliejenga ana maisha magumu na stress kuliko aliepanga.. Nyumba ni nzur,kwako ni kuzur na heshima,lakin kuliko nijenge kwa mawazo na kuanza kufikiria maden,ukiangalia nyumba hata haijaisha,madirishan umeweka mabox,chin hata floor haijawekwa eti kisa tu nami nionekane nina nyumba lah siwez,, kujenga ni process inayokwenda taratibu kulingana na kipato chako,kama mfanyakaz kopa,weka biashara,zungusha ukipata faida nunua vifaa kdgo kdgo mwsho unakuta umepiga hatua bila stress wala kuumiza kichwa.. Japo siwez mdhadau yyte mwenye kwake. Naheshim pia mawazo yakonimejenga nipo kwangu hata nikiishi maisha magumu kwa kipindi cha miaka kadhaa, ila nina amani sidaiwi kodi wala kusumbuliwa, uoga wako ndo umasikini wako utaishi nyumba za kupanga hadi lini!?,
75,000 ni kodi ya chumba kimoja kwa hapa town, kwa hiyo unazungumzia maisha ya wavulana mabachela au?Hapa tunazungumzia wenye uwezo wa kulipa kodi 75k kushuka chini
Yaani unauwezo wa kulipa 400k per month bado unaogopa kujenga utakuwa hujaamua tu na unataka kuandikwa kwenye gines book of record
75,000 ni kodi ya chumba kimoja kwa hapa town, kwa hiyo unazungumzia maisha ya wavulana mabachela au?Hapa tunazungumzia wenye uwezo wa kulipa kodi 75k kushuka chini
Yaani unauwezo wa kulipa 400k per month bado unaogopa kujenga utakuwa hujaamua tu na unataka kuandikwa kwenye gines book of record
Kwani Ukikopa na kuanzisha biashara una uhakika kuwa hiyo biashara haitakufa na kukutia hasara?Ha ha ha umenifurahisha sana,muda mwngine kudaiwa kuna kufanya uongeze juhud zaid ya kutafuta,ila nyumba yako inafaida gan kama unaishi na maisha ya shida na stress... Sio kila aliepanga hawez kujenga,kuna aliejenga ana maisha magumu na stress kuliko aliepanga.. Nyumba ni nzur,kwako ni kuzur na heshima,lakin kuliko nijenge kwa mawazo na kuanza kufikiria maden,ukiangalia nyumba hata haijaisha,madirishan umeweka mabox,chin hata floor haijawekwa eti kisa tu nami nionekane nina nyumba lah siwez,, kujenga ni process inayokwenda taratibu kulingana na kipato chako,kama mfanyakaz kopa,weka biashara,zungusha ukipata faida nunua vifaa kdgo kdgo mwsho unakuta umepiga hatua bila stress wala kuumiza kichwa.. Japo siwez mdhadau yyte mwenye kwake. Naheshim pia mawazo yako
Kulipa kodi 400000 kuna reflect kipato chako. Maisha ya sasa vijana tunavipato vidogo. Ukiwa na uwezo wa kulipa hiyo kodi, ni bora ukope ili pesa uliyotakiwa kulipa kodi ifanye marejesho.75,000 ni kodi ya chumba kimoja kwa hapa town, kwa hiyo unazungumzia maisha ya wavulana mabachela au?
Kwa kweliM naona mkopo unasaidia kama ukiutumia vizuri, kwa mfano we unalipa kodi 200,000-300,000 kwa mwezi. Huoni ni vyema kuchukua mkopo ujenge ili ukatwe na Bank 200, 000 au 300,000? Lakni ukiwa kwako
Tuseme hizo nyumba wanazopangisha zimeshushwa au zimejiotea?Kweli mkuu ishi vzuri hata ka kupanga watoto wasome vizuri mambo mengine yatafuata huko ulaya umeona nani anajenga?
Asante kwa ushauri mkuu tujifunze tu kuwa makini na sio wote wanashida kusema wakakope ni hulka tu za mjini ila well said mkuuWell said mkuu, wengi maisha yao hayaeleweki kutokana na mikopo