BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,124
Au ndio wale wasiohudhuria clinic?????Ni jambo la kushangaza sana BT.
Ndo chakushangaza sasa kama hyo miez 6 yote hawa fika clinic ata maramoja. Sijui hyo ndo mimba yake ya kwanza!!!Wala utrasound hawajafanya???
Ahahahah ndio maana hataki kwenda clinic eeAnaogopa kipimo kikubwa
Anaogopa kipimo kikubwa