hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
hao mang'ombe wana uwezo gani wa kuitisha serikali?? badilisha hiyo heading ya thred
binafsi napongeza sana hatua hiyo ya kufungia hilo gazeti la udakuHaya ni moja ya maamuzi ya kukurupuka ya serikali ya Magufuri....lazima atambue kuwa hii inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sio kwa utashi wake yeye binafsi...
Hivi nini maana ya uhalifu? kama hawa malaika watakuwa wahalifu je yale majambazi yanayoripotiwa na hivyo vyombo je?Kubenea na wahalifu wenzake wanyang'anywe leseni za uandishi