Kubadilishana (uhudumu wa afya)

emboaba

Senior Member
Oct 5, 2014
143
117
Mimi ni muhudumu wa afya wa halmashaur ya wilaya ya Nyasa. Kwa aliyetayar kubadilishana ktuo cha kazi mimi nije halmashaur ya Dodoma Arusha Singida au Kilimanjaro..

mawasiliano... 0759657405
0653604108
0783319078
 
Weweee mtu atoke kilimanjaro aende nyasa?
Hata wa huko hawataki kufanya kazi kwao! Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…