Kuanzia leo naanza kufatilia siasa za Israeli kwenye vyombo vya habari za kimataifa

kibori nangai

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
1,397
2,084
Hello

Siasa za Bongo buyibayiii

Nitajikita kuangalia Vyombo vya habari za Kimataifa nikikutana na habari za Bongo huko nitaweka msisitizo maana itakuwa imehit kwenye jamiii.

Vyombo vya habri ni BBC, CNN, CBS, FRENCH INTERNATIONAL, DW, CHINESE INTERNATIONAL, ALGERZEER, DAILY MONITOR, Japanese news, Africa news, CITIZEN TV

Hasahasa Israeli

Wadau mniongezee ni chombo gani kingine nikiongeze hapa niweze kuiva kiuchambuzii
 
Back
Top Bottom