DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,756
- 4,033
jiajiri kwanza sa hv ukiajiriwa na serikali hakuna kwenda kujiendelza
la sivyo likizo bila malipo
Hivi hii ishu in kwel Mkuu?
jiajiri kwanza sa hv ukiajiriwa na serikali hakuna kwenda kujiendelza
la sivyo likizo bila malipo
Ina ukweli kwani hujaona waraka?Hivi hii ishu in kwel Mkuu?
Nlikuwa silipwi 10m but nilikuwa nalipwa pesa ambaya ww ujawahi lipwa wala mama yako ,wala baba yako na wala bwana wako yeyete ajawahi kukugegeda na kukupa.....ulikuwa unauza vocha?? maana kama ulikuwa unapata 10m per month usingeacha
Mkuu hiyo 7m uliyotaja ni thamani ya mtaji wako ulionao kwa sasa baada ya kujiajiri au ni faida unayopata? Na kama ni faida ni kwa kipindi cha muda gani (mwezi au mwaka)?kujiajiri ni changamoto pale unapokuwa unaanza biashara lkni ukiweka utalatibu vizuri utafrai sana.changamoto ya kuajiriwa hiko kwenye uhuru wa kufnya kile ambacho unaona ni sahihi.mfano mimi bnafsi tokea mwaka 2009 mpka 2014 nilikuwa nafanya kazi za watu ukweli sikuwa hulu.kuanzia 2015 rasimi nikaingia kwenye ajira yangu sikuwa na mtaji wowote mtaji ilikuwa akiliyangu tu! mpaka sasa kazi yangu inafikisha 7m na matarajio ya kupata zaidi nayaona mezani kila kukicha.bora kujiajiri, nb kama nimtu wa kutumbua bora ukae huko kwenye ujasiriamali pesa haitoshi ukipata 1m unatam ungepata 5m kila kukicha ndo maisha yetu.
thamani ya mtajiMkuu hiyo 7m uliyotaja ni thamani ya mtaji wako ulionao kwa sasa baada ya kujiajiri au ni faida unayopata? Na kama ni faida ni kwa kipindi cha muda gani (mwezi au mwaka)?
umejiajiri?? hujaajiri MTU au watu?Nilikuwa mwajiriwa wa serikali tangu anko aingie madarakani nimeacha na kujiajiri naenjoy sana maisha ya kujiajiri huku no stress
Unafanya biashara ganiAjira tamu chache sana.. Nyingi ajira uchwara tu za kukufanya uishi kwa stress!!
Huku kwenye kujisimamia kuna raha yake, niliacha kazi 3yes ago na hakuna ninachojutia... Biashara zimekuwa na nimeajiri vijana pia!!
7 million kama faida?kujiajiri ni changamoto pale unapokuwa unaanza biashara lkni ukiweka utalatibu vizuri utafrai sana.changamoto ya kuajiriwa hiko kwenye uhuru wa kufnya kile ambacho unaona ni sahihi.mfano mimi bnafsi tokea mwaka 2009 mpka 2014 nilikuwa nafanya kazi za watu ukweli sikuwa hulu.kuanzia 2015 rasimi nikaingia kwenye ajira yangu sikuwa na mtaji wowote mtaji ilikuwa akiliyangu tu! mpaka sasa kazi yangu inafikisha 7m na matarajio ya kupata zaidi nayaona mezani kila kukicha.bora kujiajiri, nb kama nimtu wa kutumbua bora ukae huko kwenye ujasiriamali pesa haitoshi ukipata 1m unatam ungepata 5m kila kukicha ndo maisha yetu.
Nimeajiri watu wanne mpaka sasaumejiajiri?? hujaajiri MTU au watu?
Watu mna manenoulikuwa unauza vocha?? maana kama ulikuwa unapata 10m per month usingeacha
Pea zingine ni zipi?Bora kupata pesa zingine mbwembwe tuuu
sasa ikatokea na hao uliowaajiri wakaamua kuacha na kujiajiri?? utaajiri wengine?? na hao wengine nao wakakataa kuajiriwa?? huoni kuwa utakwama?? nachomaanisha hapa ni kuwa suala la kuajiriwa HALIEPUKIKI, wpte tukisema hatutaki kuajiriwa tunataka kujiajiri basi jua tutakwma tuu maana ili ufanikiwe kwenye kujiajiri ni lazima iwe na wasaidizi( waajiriwa)Nimeajiri watu wanne mpaka sasa
Hakuna aliyesema watu wasiajiriwe ila kila mmoja anafanya anachoona bora kwake,kuna watu hawez kabisa kuparangana na boashara ivyo kwao kuajiriwa ni the best na kuna wengine kufanya kazi chini ya mtu kwao ni utumwasasa ikatokea na hao uliowaajiri wakaamua kuacha na kujiajiri?? utaajiri wengine?? na hao wengine nao wakakataa kuajiriwa?? huoni kuwa utakwama?? nachomaanisha hapa ni kuwa suala la kuajiriwa HALIEPUKIKI, wpte tukisema hatutaki kuajiriwa tunataka kujiajiri basi jua tutakwma tuu maana ili ufanikiwe kwenye kujiajiri ni lazima iwe na wasaidizi( waajiriwa)