Kuajiriwa sio utumwa mkuu" ni sehemu ya maisha km ilivyo kujiajiriKuajiriwa siku zote ni utumwa.
Kuajiriwa ni jambo zuri endapo kama utageuza ajira yako kuwa capital ya kuwekeza katika miradi mbalimbali utakayoona inalipa na unapenda kufanya.Huu ndo mpango mzima.... unaajiriwa na unaajiri. Sucurity ya maisha bora wakati wowote.
Msalimie ShelembiMimi nafuga kuku na bado ni customer service katika moja ya bank hapa mjini! Kuwa mobilized inalipa Sana. Pie nalima mbaazi huko babati
Kwanini mkuu.Mkuu umejiajiri?
Tuambie ulipata wapi mtaji na unawezaje kumanage hyo biashara yako.Vp mwanzo ulikuaje?Ajira tamu chache sana.. Nyingi ajira uchwara tu za kukufanya uishi kwa stress!!
Huku kwenye kujisimamia kuna raha yake, niliacha kazi 3yes ago na hakuna ninachojutia... Biashara zimekuwa na nimeajiri vijana pia!!
Hapo nimekupata mkuu,vip unaweza toa mfano wa kaz ambazo mtu anaweza kuzifanya pamoja na kuwa na ajira kwa mtu mwingineKama nilivyoeleza mkuu kama hali ikiruhusu ipo siku nitajikuta nakuwa fully self employed. Muda wa kusimamia kazi zangu napata kutokana na aina ya biashara ninazofanya, watu niliowaweka na pia management systems nilizoweka katika kila biashara husika.
Kuhusu ufanisi wa kufanya kazi mbili naona ni kawaida tu kwa sababu naiona, naisimamia na kuichukulia kazi yangu ya kuajiriwa kama aina mojawapo ya biashara zangu. Nikimaanisha kwa vile inanipa riziki na exposure kama ilivyo kwa biashara zangu binafsi, naichukulia kama aina fulani ya sehemu mojawapo ya kuwajibika. Mfano kama nina biashara zangu tatu za binafsi kazi yangu ya kuajiriwa naihesabu kama eneo langu la nne la kunipa riziki kama ilivyo kwa mtu aliyejiajiri jumla kwa kuwa na biashara nne tofauti. Sijui kama nimeeleweka vizuri mkuu?
ulikuwa unauza vocha?? maana kama ulikuwa unapata 10m per month usingeachaNiliacha kaz vodacom na kujiajili sasa naona matunda yake.........mungu baaric kazi ya mkono yangu
Ahsante mkuu,nadhani wengi hawako practical.Yani utaskia mtu anasema jambo ambalo hata yey hajalifanyaKuajiriwa sio utumwa mkuu" ni sehemu ya maisha km ilivyo kujiajiri
kujiajiri ni kwa watu majasiri tu (risk takers) ambao ni wachache sana duniani
Wenye roho ya kuku broiler kujiajiri ni risk worth of not taking .
Don't take Jf comments seriously mkuuAhsante mkuu,nadhani wengi hawako practical.Yani utaskia mtu anasema jambo ambalo hata yey hajalifanya