Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 594
- 686
Habari wakuu,
Samahani mie ni kijana mpambanaji mwenzenu Sasa kulingana na ukosefu wa ajira niliamua kwenda kunitafuta fursa upande mwingine nikaachana na kuisubiria ajira kwa kile nilichosomea.
Nikaamua kuingia Geita kwa wachimbaji wadogo Sasa huku katika kuchenjua dhahabu Kuna kitu kinaitwa plant kwa ajili ya kuozeshea ule mchanga wa dhahabu baada ya hapo Kuna process za kimaabara zinafuata ambazo hata ukielekezwa kama unakichwa chepesi kwa Muda mchache unaweza kuelewa.
Kilichonifanya mie kuandika huu uzi nahitaji msaada kwa wale wanaofahamu kozi hii vyuo vya ufundi (VETA) vinavyoitoa kozi hii, gharama pamoja na Muda unaotumia hadi kukumilisha kozi.
Ninacholenga Mimi ni ujuzi zaidi na sio kukariri,kozi hii ina wigo mpana katika soko la ajira haswa kuelekea Tanzania ya viwanda.
Baadhi ya vyuo nilivyoona wanatoa kozi hii ni
(1) VETA Chang'ombe
(2) VETAPwani
(3) VETA Manyara
(4) VETA Mtwara
Kwahyo naomba Yule mwenye uelewa au ujuzi zaidi kuhusu kozi hii atujuze hapa kwa maslahi ya wengi.
Asanteni.