Kosa ni la mwanaume au mwanamke?

Haha....sio rahisi kihivyo. Mtu hakupanga kuzaa wala nini halafu mtoto anakuja tu?
lakini mpaka mnafanya bila kinga mnatakiwa mtegemee chochote kinaweza tokea, ni ngumu kuhesabu siku kama hauko bampa to bampa na mpenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom