misstrace
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 649
- 1,483
Huwa tunavuta muda tuone kama zitakuja, wakati mwingine mzunguko huchelewa kutokana na mabadiliko ya mwili.Shem usicheke hili ni tatizo na linasababisha mimba nyingi kutelekezwa.
Look. Umesex na ke ambaye tarehe 11.4.2017 anaingia p. Cha kustaajabisha anakuja kukuambia tarehe 28.4 eti hazioni siku zake. Why asingesema tarehe 11 au 13 !!
Swali la kujikinga na mimba zisizotarajiwa jukumu la jinsia zote.