MKAKA HALISI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 627
- 1,253
Kwasababu kipao mbele ni MarekaniKwanini isipokuwa huko?
Kwasababu kipao mbele ni MarekaniKwanini isipokuwa huko?
Baada ya vita vya pili vya Dunia, Japan aliwekewa vikwazo vya silaha pamoja na Ujerumani kwa sababu ya kuogopa kuleta uchokozi tena.Nami nachangia asee.
Yaani hata lilivyotembea na kutua baharini hamjaona? Kweli Japan Ni wajingawajinga Sana.
Afu pia kiongozi anaonesha kabisa bila msaada wa US wao Ni zero .
Kweli kabisa Japan imekubali kuwa mbuzi wa supu wa US?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hi naijua mkuu. Kiufupi Japan inatawaliwa na US?Baada ya vita vya pili vya Dunia, Japan aliwekewa vikwazo vya silaha pamoja na Ujerumani kwa sababu ya kuogopa kuleta uchokozi tena.
Kwa hiyo Japan anategemea ulinzi kutoka USA.
Miaka ya 2010 hivi, Japan alianza kulalamika kwamba, aruhusiwe kuimarisha jeshi lake maana China anaweza kuja kumvamia kulipiza kisasi. Ikumbukwe Japan alimtesa sana China miaka hiyo!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app