Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,465
- 7,352
Mkuu huwaelewi watu wa west na psyche yao.
Japan iliingia vita ya WWII kwa mtindo huo, na wakadundwa vibaya.
N Korea is a sitting duck Nuclear force, one salvo will clear the whole issue., ingawaje nao wanauwezo wa kurusha nuclear bomb kufika South Korea na Japan.
Marekani hatuwasifii kwa mazuri.
Jana CNN, Jenerali mstaafu(Chief of Joint staff) na aliyekuwa mkuu wa CIA alikuwa akimlaumu D Trump kwa kuongea siri za Marekani hadharani, baada ya kusema Armada ya manowari zinaelekea Korea(kitu ambacho hakikuwa kweli anyway)
D Trump alienda mbali Zaidi kuwa nuclear submarines ziko dispatched kwenda Far East(kitu ambacho ni cha kweli) na hii ilitakiwa kuwa siri ya medani ya kivita.
Hiyo ndio alarm, marekani wana submarine mobile nuclear bombs aimed at N Korea.
Nuclear armed subs with multiple nuclear warheads zina uwezo wa kufanya uharibifu mkubwa katika peninsula yote ya Korea.
Kizungumkuti kilichopo ni kwamba ukirusha nuclear bomb madara yake hayaishii karinu.
Kwa sasa hivi baada ya upembuzi, pambano lolote litakalofanikiwa kuiangamaiza North Korea, si chini ya watu milioni moja wataangamia.
Mkuu,
Japan hakushindwa katika conventional battle, sababu inajulikana kabisa ya kwa nini Mmarekani alitumia Atomic bombs in that war.