CHE Raptino
JF-Expert Member
- Mar 11, 2017
- 1,027
- 1,067
Silaha wabebazo ni nyembe, spoku, visu,bisibisi nk
Badala ya kukimbilia kutoa msaada na kuwaarifu polisi unakimbilia JF tena unaahidi na picha kabisaKimenuka maeneo ya mzinga kongowe dar es salaam..vijana wahuni almaruuf kama panya rod wanafanya yao wameteka gari ilokua na msafara wa harusi na kuwajeruhi baadhi ya watu waliomo...
Taarifa zaidi na picha znakuja mda si mrefu
Hilo fusso walilopanda c wamekija nalo mkuuKimenuka maeneo ya mzinga kongowe dar es salaam..vijana wahuni almaruuf kama panya rod wanafanya yao wameteka gari ilokua na msafara wa harusi na kuwajeruhi baadhi ya watu waliomo...
Taarifa zaidi na picha znakuja mda si mrefu
Kama nawaona mnavotimua mbio kuwahi nyumbaniMtuacheee