Kombe la shirikisho Africa: Yanga yapangwa na TP Mazembe kundi moja

d6e3e519c633e335dd0d57dbe696bf3a.jpg
Kuna jamaa humu kasema ati Vyura FC kapangiwa na TP Mazembe...

Sasa najiuliza hivi kwani nao SIMBA aka Vyura FC wapo kwenye hii michuano..?
 
Tabia ya chura, 1.kukoroma hovyohovyo.Hili halina ubishi kelele za soka hapa bongo ni za YANGA.2.kuogelea madimbwini hili nalo lipo wazi yanga mvua ikinyesha wanaogelea.
 
Hivi unafahamu hata TP Mazembe hawako vizuri (kama umewafuatilia mechi zao zilizopita).

Hata kwenye msimamo wa ligi ya kwao wako hoi.

Hapa Yanga inabidi amalize nafasi ya 1 au ya 2.
Kabisaaaaaaa mkuu, yani kundi la Yanga ni zuri sana aise Mpaka natamani mie ndiye ningekua Jerry Muro ili nibwatuke vizuri leo.
 
Back
Top Bottom