Kombe La Mapinduzi 2017: Historia, ratiba za bingwa wa kihistoria.

Mabingwa wa kihistoria wa Mapinduzi cup, aseee Simba sc tumefikia kujisifu kwa kombe ambalo hata cecafa hawalijui
 
Mabingwa wa kihistoria wa Mapinduzi cup, aseee Simba sc tumefikia kujisifu kwa kombe ambalo hata cecafa hawalijui

Hayo maneno Yako Yatakuwa Valid pale tu Timu Nyengine Zitakapo Kataa Kushiriki Na Kumuachia Simba Peke Yake Kutokana Na Kuwa Kombe Halitambuliki...
Lakini kwakuwa Wengine Wanashiriki, Kwanini Simba Asiwe Bingwa Wa Kihistoria .
 
Pia mkuu tuwekee na historia ya bigwa mara nyingi wa kombe la ligi kuu tanzania bara
 
Mabingwa wa kihistoria wa Mapinduzi cup, aseee Simba sc tumefikia kujisifu kwa kombe ambalo hata cecafa hawalijui

Mkuu hatujisifu.. Nimeweka tu historia.. Ila hata hao CECAFA unaowazungumzia ukiwauliza ni nani bingwa wa kihistoria wa kombe wanaloliandaa [ aliyechukua mara nyingi ].. jibu lao ni moja tu Simba SC.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom