KOKOTO... KOKOTO... KOKOTO

metatron

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
552
274
KOKOTO BORA ZA UJENZI TOKA LUGOBA..
Tunasambaza kokoto bora kabisa kutoka Moja kwa Moja kwenye Karasha letu Lililopo LUGOBA, Kokoto zetu ni bora kabisa inayozalishwa kutoka katika Mashine za Kituruki.
Sifa kubwa ya kokoto zetu hazina vumbi kabisa hivyo inamufanya utumie kiwango kidogo cha cement katika ujenzi wako. Tunazo kokoto za ukubwa mbali mbali kama 1/2 na 3/4 na bei zetu ni nzuri Sana kulinganisha na ubora. Cubic meters Moja ni @ 80,000/= +VAT hii ni pamoja na usafiri mpka site kwako.

METATRON LIFT CO LTD
P.O.BOX 5848 - MBEZI BEACH
+255 714 434 190
+255 679 393 975
E-MAIL: metatronlift@gmail.com
 
"Uturuki" nayo ni sifa?

Hatuna kiwanda cha "karasha" crusher tanzania!
Majaliwa aingilie kati (jokes)

Nitakutafuta mkuu.
Bei inaweza kupungua kidogo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom