Klabu ya Chelsea kuitangaza Zanzibar kiutalii

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
10,798
25,849
Klabu ya Chelsea itavaa jersey yenye ujumbe wa visit Zanzibar kwa msimu huu huku Tanganyika ikiwekwa kando kama mtoto asiye na wazazi.

Kwa sasa kila jambo linakimbizwa Zanzibar hasa kimataifa ili Zanzibar ifahamike zaidi.

USSR.

20240826_143022.jpg
 
Club ya Chelsea itavaa jersey yenye ujumbe wa visit Zanzibar kwa msimu huu huku tanganyika ikiwekwa kando kama mtoto asiye na wazazi.

Kwa sasa kila jambo linakimbizwa Zanzibar hasa kimataifa ili Zanzibar ifahamike zaidi,

USSR
View attachment 3079762
Kabla Samia hajaingia ikulu JPM alikaa pale miaka mitano, alishindwa vipi kumuiga Kagame aliyeingia mkataba wa udhamini na klabu ya Arsenal pamoja na PSG?.

Sio kila kitu tupende tu kulaumu na kunyooshea vidole, tulikuwa na fursa ya kuutangaza Mlima Kilimanjaro kwa kuingia mikataba na kina Man United, Man City muda mrefu uliopita, kazi yetu kubwa ni kuvizia fursa za kuiba pesa za umma huko kwenye taasisi na wizara mbalimbali hatuna kabisa maono mapana kama hayo ya Zanzibar.
 
Club ya Chelsea itavaa jersey yenye ujumbe wa visit Zanzibar kwa msimu huu huku tanganyika ikiwekwa kando kama mtoto asiye na wazazi.

Kwa sasa kila jambo linakimbizwa Zanzibar hasa kimataifa ili Zanzibar ifahamike zaidi,

USSR
View attachment 3079762

Zanzibar ni nchi, hatutakiwi kuwa na hasira katika jambo hili lililo wazi.

Tanganyika nayo itafute namna ya kutangaza urithi na vivutio vyake badala ya kulalama na kulia .

Habari kwa kina :

Chelsea FC Washirikiana na Serikali ya Zanzibar Kuinua Utalii​

NaRipoti ya Hoteli ya Afrika, 2024

Chelsea: Kukuza Utalii na Maendeleo ya Soka Zanzibar

Lengo kuu ni la kuimarisha sekta ya utalii Zanzibar sambamba na kukuza maendeleo ya soka katika visiwa hivyo ikiwa ni pamoja na kuanzisha vyuo vya soka ndani ya Visiwa hivyo.

Bw. Barnes Hampel na timu yake wanapanga ziara ya Tanzania kukutana na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Damas Ndumbaro. Ajenda yao ni pamoja na kuchunguza mipango ya maendeleo ya michezo, kuimarisha athari za ushirikiano katika utalii na michezo ya ndani.

Mratibu wa Chelsea FC nchini Tanzania, Bw. Mohamed Reza Saboor, alithibitisha lengo la wajumbe hao kupata wasaa wa mazungumzo na Rais Samia Suluhu Hassan, wakiangazia wigo mpana wa mashirikiano yao.

Ushirikiano huu unaashiria mtazamo wa kufikiria siku za mbele zijazo, unao fungamanisha uwezo wa soka wa kimataifa na uchangamfu wa kitamaduni na kimichezo wa Zanzibar.

Kuhusu Chelsea Football Club​

Klabu ya Soka ya Chelsea , yenye makao yake mjini London, inasimama kama klabu tajwa maarufu katika ulimwengu wa soka. Ikijulikana kwa historia na mafanikio yake tele, klabu hiyo imekuwa mstari wa mbele katika mashindano ya ndani na kimataifa.

Ni dhahiri katika ushirikiano wao wa hivi karibuni na serikali ya Zanzibar, uonesha dhamira ya maendeleo ya michezo na ushiriki wa jamii. Kama taasisi kuu ya soka, Chelsea inaendelea kuacha alama kwenye mchezo huo wa soka , ikivuka mipaka na kuwaunganisha mashabiki duniani kote
 
Ubunifu ni sifa ya kiuongozi kwenye suala la kitaifa. Tuna wajinga wengi huko serikalini na ni rahisi kwao kuja na wazo la kupinga maono mbalimbali na ukizingatia kuna urasimu katika utendaji basi hali inakuwa mbaya zaidi.

Nchi kama Rwanda na Zanzibar ni ndogo kwa maeneo hivyo hata idadi ya watu ni ndogo kulinganisha na huku bara palipojaa wajuaji wengi.

Ni rahisi kwa Mwinyi kutekeleza mipango yake kwani wanaoipinga ni wachache katika uongozi wake.
 
Back
Top Bottom