Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

Msiri

Senior Member
Jan 10, 2010
115
95
Kiwanja kinauzwa kama ifuatavyo:

i: Mahali kilipo: Kwa bibi barabara ya Tabata/Segerea mita 20 toka barabara kuu.

ii: Eneo: Sqm 1,416

iii. Kina hati: Ndio

iv: Bei: 310m

v: Mawasiliano: +255 755 321 562


Update:
======
Bei imepungua mpaka 260m. Chukua kiwanja hiki hakina mgogoro wala udalali.
 
Mhhhh hio bei, na huo umbali toka road tanroa hawawez leta shida ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom