Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

Pastor steven mdoe

Senior Member
Jan 13, 2016
113
34
Kipo Goba mjini, mita 300 kutoka stand, ukubwa 50 kwa 40 pako vizr na njia nzr inafikika kwa urahisi kabisa..Bei yake Tsh.35ml lakn pia maongezi yapo..
Kwa maelezo zaidi au kuja kupaona tunaweza kuwasiliana kwa simu no: -

0756060183
 
Hizi hizi 35 ninazojua mimi au USD mkuu? Kama tumefikia hapa pongezi kwa JPM
 
HIZO 50 KWA 40 NI NIN?...
1- FUTI
2- MIGUU
3- MITA
4- SENTIMITA
5- KILOGRAMU?

PIA KWA BEI HIYO SIONI KAMA UPO SAWA...INATAKIWA ISIZIDI 20 NA NITALIPA KWA INSTALLMENTS.... SAHIVI BEI ZA VIWANJA ZITASHUKA SANA UKICHUKULIA PESA HAKUNA NA PIA HAKINA HATI HICHO. NAJILIPUWA UJUWE.
 
Sawa ndg nimerekebisha japo kwa sehemu, ila kama unahitaji ni vyema ukaja kuona kwanza na mengine tutaongea
 
Kipo Goba mjini, mita 300 kutoka stand, ukubwa 50 kwa 40 pako vizr na njia nzr inafikika kwa urahisi kabisa..Bei yake Tsh.35ml lakn pia maongezi yapo..
Kwa maelezo zaidi au kuja kupaona tunaweza kuwasiliana kwa simu no: -

0756060183
Mkuu njoo nicheki inbox
 
Naomba mnisaidie wadau tofauti ya kiwanja, eneo,na shamba. Hawa madalali wanaonadi ardhi huwa hawatofautishi ayo maneno matatu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…